Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.

Wakati nasoma huu uzi wako,mwanzoni nirifikiri kuna hoja ya maana,niripofika kipengele" m" nikagundua kumbe ni pumba tupu,sasa kama haya uliyoyaeleza hapa,ni kweli,unataka kusema kwamba serikali ya CCM,Inamuogopa mzee Mengi,kama hizi tuhuma za kuifilisi NBC,ni za kweli kwanini hawampeleki mahakamani ashitakiwe na ahangamizwe kabisa kibiashara,

Hizi ni porojo tu,hao uliowataja,Mramba,wapo mahakamani kwa ufisadi wao,mahakama na mahakimu wote ni wa CCM,mzee mengi anahusika vipi,

Tangu mzee Mengi atoe tuhuma za idara ya kupambana na madawa ya kulevya kutaka kumtegeshea mwanawe kete,hizo tuhuma hazijajibiwa mpaka leo,

Kama nyie ma ESCROW,mna ushaidi kwamba Mzee Mengi ni fisadi,kwanini hampeleki ushaidi huo mahakamani,?pelekeni ili muhaibike kama mlivyo aibika kwenye kesi ya Mkurugenzi wa usalama wa Chadema
 
mtoa mada ulienda vizuri ila ulipoingiza mambo ya katiba na ukawa ndo ulipowavuruga
 
Hana lolote huyo mzee. Ana roho mbaya kupindukia. Kama kweli ni mtu mwema kwa nini kila wakati anagombana na viongozi wa serikali? Ameshawafanyia watu wengi ukatili wa kutisha hadi wengine wamepoteza maisha. Si huyu ndiye aliyetajwa na Mtikila hata kwenye mauaji ya Chacha Wangwe? Siku ile alienda Dodoma kufanya nini? Huyu mtu ni wa kumulikwa.

Lete taa tummulike,Tanzania ndio nchi pekee duniani ambayo yeyote anayesimamia ukweli na mzalendo ndie atayechukiwa na wapumbavu kama wewe.
 
kweny kipengele M hapo una lako jambo mwandishi, kwingne cjui vizur kwa kwel but kweny m think twice
 
Wakati nasoma huu uzi wako,mwanzoni nirifikiri kuna hoja ya maana,niripofika kipengele" m" nikagundua kumbe ni pumba tupu,sasa kama haya uliyoyaeleza hapa,ni kweli,unataka kusema kwamba serikali ya CCM,Inamuogopa mzee Mengi,kama hizi tuhuma za kuifilisi NBC,ni za kweli kwanini hawampeleki mahakamani ashitakiwe na ahangamizwe kabisa kibiashara,

Hizi ni porojo tu,hao uliowataja,Mramba,wapo mahakamani kwa ufisadi wao,mahakama na mahakimu wote ni wa CCM,mzee mengi anahusika vipi,

Tangu mzee Mengi atoe tuhuma za idara ya kupambana na madawa ya kulevya kutaka kumtegeshea mwanawe kete,hizo tuhuma hazijajibiwa mpaka leo,

Kama nyie ma ESCROW,mna ushaidi kwamba Mzee Mengi ni fisadi,kwanini hampeleki ushaidi huo mahakamani,?pelekeni ili muhaibike kama mlivyo aibika kwenye kesi ya Mkurugenzi wa usalama wa Chadema

Kwa nini Mengi yeye Haendi Mahakamani? Mbona anahangaika kutumia Mabilioni kuwapa akina Sendeka na wenzake wamung'oe Mhongo juu kwa juu, Hivi ni Kwa nini Haendi mahakamani?
 
kweny kipengele M hapo una lako jambo mwandishi, kwingne cjui vizur kwa kwel but kweny m think twice

Wanafanyakazi wa Mengi wana Hasira sana juu ya Mengi kutumia Mabilioni kwenye Ligi zake binafsi huku wao wanalia kwa njaa kutokana na kuwalipa mishahara Mibovu, Mengi hana hamu na JF kwani akisoma maoni ya wana JF lazima ataugua.
 
Kati ya wewe na mengi nani anaeneza chuki? ulivyoandika inaonekana wewe unachuki binafsi na mengi na unataka watazania wote tuwe sehemu ya ugomvi huo. Tuache wivu usiokuwa wa maendeleo. Ni nani ambaye ni mkamilifu hana ugomvi na mtu? wewe haujawahi kuwa na ugomvi na mtu na ni msafi kiasi gani? baadhi ya ugovi ulizoorodhesha wengine tunajua fika chanzo kilikuwa nini? Mwisho kama tunataka kufananisha Mengi anamanufaa makubwa kwa nchi ya Tanzania kuliko wote ambao amekuwa na ugomvi nao.
 
Karibu tuhuma zote kuna sentensi '..alitaka kuufanya wa nchi nzima...! How? Kuondolewa mawaziri kwenye nyazifa zao, kunahusikana vipi na Mengi? Viroba wakati wa jua kali ni hatari kwa afya ya ubongo.
 
Kama wafanyakazi wa IPP wananyanyaswa na Mengi, hiyo tuzo ya SUPERBRANDS wameipataje. Mbona haikwenda TBC wanakolipwa zaidi ya vizuri?
 
Kati ya wewe na mengi nani anaeneza chuki? ulivyoandika inaonekana wewe unachuki binafsi na mengi na unataka watazania wote tuwe sehemu ya ugomvi huo. Tuache wivu usiokuwa wa maendeleo. Ni nani ambaye ni mkamilifu hana ugomvi na mtu? wewe haujawahi kuwa na ugomvi na mtu na ni msafi kiasi gani? baadhi ya ugovi ulizoorodhesha wengine tunajua fika chanzo kilikuwa nini? Mwisho kama tunataka kufananisha Mengi anamanufaa makubwa kwa nchi ya Tanzania kuliko wote ambao amekuwa na ugomvi nao.

Mengi hana Manufaa yeyote yale kwani ni Mwizi sana na hakuna Mtu anayemwonea Wivu wowote, Mengi si Mungu yeye ni binadamu tu ana makosa yake waache watu wamchambe live, yeye kazoea kuwakomoa watu kwa masilahi yake binafsi kisha kusaka Huruma za wananchi, sasa imekuwa Kinyume watu wamechoka kumubeba wameamua apewe Makavu live, poleni wafuasi wa Mengi naona Mungu wenu Mengi kapewa vipande vyake, mwacheni ajifunze Tabia njema.
 
Kama wafanyakazi wa IPP wananyanyaswa na Mengi, hiyo tuzo ya SUPERBRANDS wameipataje. Mbona haikwenda TBC wanakolipwa zaidi ya vizuri?

Rushwa imetembea hapo Mengi ni bingwa wa rushwa
 
Kweli umejitutumua vya kutosha kuleta hii mada.Pita Lumumba kesho uchukue bahasha yako ya kaki.Wakati mwingine kabla hujaleta mada jipime kama unatumia akili zako au za kuambiwa.

FISADI ANAYETUMIA KISINGIZIO CHA KUTETEA WANYONGE KUZIFANYA CHUKI ZAKE BINAFSI ZIWE NI UGOMVI WA KITAIFA:
Kwa miaka mingi kumukuwepo na jitihada za makusudi kabisa zinazofanywa na vyombo vya habari vya IPP kuchafua baadhi ya wizara za serikali, watu binafsi na ofisi za taasisi mbalimbali kwa malengo yao binafsi wanayoyajua wao wenyewe. Ni wazi kabisa hakuna asiyejua chuki binafsi alizonazo mmiliki wa vyombo vya habari na baadhi ya waliokuwa viongozi wandamizi wa serikali na baadhi ya mawaziri ambao bado wanaendelea kuhudumu katika serikali. Mmiliki huyu amekuwa akitumia kivuli cha utetezi wa wanyonge kuanzisha vurugu dhidi vya viongozi wa serikali kwa kuaminisha uma kwamba anatetea maslahi ya watanzania. Jambo ambalo hata siku moja halijawahi kuwa na ukweli hata kidogo kwani siku zote amekuwa akitanguliza mbele maslahi yake binafsi kwa kigezo cha uzawa, kisha ya serikali na baadaye wananchi wa mwisho. Sote tunafahamu ufisadi aliokwisha wahi kuufanya kwa kivuli cha uzawa kupitia NBC, NICO, Commodity Import Support (CIS), TANPACK Industries Ltd na mengine mengi.
Kama ambavyo iliwahi kutamkwa huko nyuma, historia ya Mengi inamuonyesha kwamba ni mtu anayependa kuanzisha ugomvi katika mambo yanayohusu maslahi yake binafsi lakini unapopamba moto na kuona anazidiwa, hutafuta hifadhi kwa kulia lia na kutaka aonewe huruma na kutaka kuliingiza Taifa zima. Katika kufanikisha hayo, amekuwa akitumia vyombo vyake vya habari kuwapotosha wananchi ili waone anaonewa au eti anapigania maslahi yao. Historia inaonyesha amewahi kuanzisha ugomvi na watu wafuatao kwa sababu anazozijua yeye.
a) Alianzisha ugomvi na wamiliki wa vituo vya televisheni vya DTV na CTN mwaka 1994 kwa hofu tu ya kwamba watakuwa washindani wa kituo chake cha ITV na akafika hatua ya kuwazushia kwamba wanataka kumuua, akaufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

b) Alianzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Utawala Bora, Mheshimiwa Wilson Masilingi, baada ya kushindwa zabuni ya ubinafsishaji wa Hoteli ya Kilimanjaro, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima. Katika kudhihirisha jinsi alivyo mtu wa chuki na visasi, kutokana na kuikosa tu hoteli hiyo, amekuwa hakanyagi na hata hashiriki shughuli yoyote inayofanyika katika hoteli hiyo.

c) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Naibu Waziri wa Biashara na Viwanda, Mheshimiwa Shamim Khan, kwa kutakiwa afute maelezo katika maji ya kunywa yanayozalishwa na kampuni yake kwamba yalikuwa ya chemchem wakati hayakuwa hivyo, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

d) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Mazingira, Mheshimiwa Edward Lowassa, aliyemkanya Mengi asitumie nafasi yake kama Mwenyekiti wa Baraza la Mazingira kuwakomoa washindani wake wa biashara kwa kuwazushia tuhuma za kuchafua mazingira na kuvifungia viwanda vyao, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

e) Akaanzisha ugomvi na aliyekuwa Waziri wa Fedha, Mheshimiwa Basil Mramba, baada ya kumnasa akikwepa kodi katika uendeshaji wa biashara yake ya bahati nasibu ya BINGO, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

f) Akaanzisha ugomvi na kampuni ya Habari Corporation iliyokuwa inaongozwa na Jenerali Ulimwengu baada ya kufichua habari za jinsi alivyoifilisi benki ya NBC, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

g) Akaanzisha ugomvi na mfanyabishara Yusuf Manji ambaye kwanza walikuwa wakigombea uendeshaji wa mchezo wa bahati nasibu, na baadaye akajenga chuki naye binafsi kwa sababu tu alifanikiwa kuusuluhisha mgogoro wa Yanga ambao Mengi ulimshinda, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

h) Akaanzisha ugomvi na Mheshimiwa Adam Malima ambaye alihoji Bungeni jinsi Mengi anavyotumia vibaya vyombo vyake vya habari kwa kutangaza habari za kujitukuza binafsi zaidi ya hata vinavyotangaza habari zinazowahusu viongozi wa kitaifa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

i) Akaanzisha ugomvi na mfanyabiashara Tanil Somaiya baada ya kumuona kijana huyo aliyekuwa wakala wa kuuza bidhaa za viwanda vyake Mengi (kabla ya kuviua mwenyewe), ameweza kujiimarisha na kupata mafanikio makubwa ya kibiashara hata kumshinda yeye Mengi, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

j) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Mambo ya Ndani, Mheshimiwa Lawrence Masha, kwa kuja na madai ya kutaka kuhujumiwa, akataka kuufanya ni ugomvi wa nchi nzima.

k) Akaanzisha ugomvi na Ndugu Rostam Azizi, baada ya kuona kwamba amekuwa mshindani wake mkubwa katika umiliki wa vyombo vya habari hapa nchini, na aka ufanya ni ugomvi wa wa nchi nzima.

l) Akaanzisha ugomvi na Waziri wa Sayansi na Teknolojia Prof. Mbarawa Makame baada ya serikali kupitisha azimio la kubadili mfumo wa matangazo kutoka analojia kwenda digitali ambapo alikuwa akishinikiza watanzania wakatae kwa lengo la yeye mwenyewe kujinufaisha binafsi.

m) Ni huyu huyu Reginald Mengi amekuwa akipiga vita ya chini kwa chini kuhakikisha Tanzania haipati katiba bora kwa malengo yake binafsi na huu ni mpango mkakati anao uratibu kwa kushirikiana na UKAWA na baadhi ya balozi za kutoka nchi ya wahisani.

n) Na siku za karibuni kaanzisha ugomvi mkali na Waziri wa Nishati na Madini Prof. Sospter Muhongo baada ya kuona harakati zake za kutaka kupewa vitalu vya gesi bure kwa kigezo cha uzawa kugonga mwamba.
Watanzania tuna haja na kila sababu ya kujiuliza mara mbili mbili juu ya uhalali wa mtu huyu kuamua kutumia kigezo cha utetezi wa wanyonge (uzawa) kwa minajili ya kujinufaisha yeye binafsi na familia yake. Kamwe hatuwezi kukubali hili na tunatoa wito sasa ni wakati ambao serikali ina bidi ichekue hatua kali dhidi ya mmiliki huyu ambaye amekuwa akichochea vurugu na kuivuruga serikali pasipo sababu.
Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania.
 
Rostam alimpachika jina fisadi nyangumi...lakini hakomi...

Yaani hapo na wewe unajiona una Akili? Hv wakiitwa wenye akili utakwenda? Kumbuka Sakata la escrow linawahusu Majaji, Gavana,Waziri wa Fedha,Waziri wa viwanda na Biashara na huko Wizara ya Nishati, kwa Lugha rahisi hapo kuna Mlolongo wa vitengo. Cha Ajabu ni Kwamba Mengi na Mkono wameamua kutumia pesa na Vyombo vyao kamkomalia Muhongo peke yake kisa Mengi alinyimwa Vitalu vya Gesi na Mkono akinyang'anywa tenda za kisheria baada ya kuonekana analipwa pesa nyingi pasipo kushinda Kesi hata moja, na Huyo baba yako Mengi katumia Mabilioni kuwapa akina Sendeka na wenzake ili wamung'oe Muhongo kisa masilahi binafsi tu.watanzania wa sasa wameamka wanajua kubalance pande zote, usidhani watu wamekariri kuwa Mengi ni MUNGU hana doa wala dhambi kama wewe ulivyokariri.

funza,

Ni vigumu sana funza kupata akili inayoweza kuelewa kama binadamu.
Mimi ni binadamu mwenye akili nzuri.
Akili ya funza inahusisha makosa, ufisadi au kutumiwa kwa Muhongo kufanikisha wizi wa fedha zetu binadamu wa Tanzania na mfanyabiashara aitwaye Mengi bila sababu yoyote.
Tangu lini funza na wenzake wakaweza kijilinda au kulinda jamii na mali zao?
Sisi binadamu tunajua kuwa Muhongo ni mwenzetu, tunamheshimu.
Hata hivyo, ndugu yetu wa damu kabisa akifanya upuuzi unaosababisha hasara kwa familia au jamii, lazima awajibishwe na mwingine apewe nafasi yake ili iwe fundisho kwa wengine wasuuge upuuzi wake na pia wawe makini kwa faida ya jamii.
Muhongo awajibishwe kwa makosa na kiburi chake, pia upuuzi wa kutetewa na funza kama wewe ambaye hawezi kujua kuwa ushiriki wa wengine kwenye kosa siyo utetezi.
 
Yaan watanzania tungeingia ktk dunia ya hawa wafanya biashara wakubwa wala mzee mengi tusingemuona kama mkombozi zaidi ya kututumia kama njia kulinda maslahi yake binafsi na hasa ya kukuza biashara zake shida sisi watu wengi tunaaminishwa na huo uzawa au udini na hata ukanda
 
Back
Top Bottom