Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

Huyu ndiye fisadi hatari zaidi

wewe ni mtu usiojua chochote ili mradi jua likuchwa na kuchwa ndio maana unamuona mengi ni mtu wa maana. huyu mengi hatofautiani na nyoka

Mwaka 2015 Mengi anajuuta kumzonga Muhongo maana watu wameamka sasa wanajua kubalance habari , Wengi huko nyuma waliamini Mengi ni Mungu hana doa wala dhambi na kila alilokuwa akisema walikariri na kusadiki, Lakini sasa Watu wameamka mawazo ya 1947 hayana nafasi hawadanganyiki, Mengi ajisafishe mwenyewe kabla ya kuwanyoshea wengine vidole.
 
Hivi mengi na vodacom ni nani ambaye anatoa misaada mingi kwenye jamii nataka majibu kwa wakereketwa wa billionea mengi maana wanasema yeye huwa anatoa sana kuliko wenzakee
 
Matajiri wanaowasaidia watu kwenye shida wapo wengi,na kama mengi anawasaidia watu wenye shida huwa ni wajibu wake hiyo inaitwa corporate social responsibility lakini shida inakuja hao watu unaowasaidia unataka kuwatumia wakutete kwenye dili haramuu

Mengi akitoa Misaada kwa Walemavu huendi kuomba misamaha ya kodi,hivyo Vilema ni mladi na dili kubwa kwa Mengi, Huyo mzee Mengi huwa hana cha bure yeye hupiga kila kona. Lakini pia ni bingwa wa Ulalamishi na kudeka huku akisaka huruma za wananchi kisanii.
 
Hivi mengi na vodacom ni nani ambaye anatoa misaada mingi kwenye jamii nataka majibu kwa wakereketwa wa billionea mengi maana wanasema yeye huwa anatoa sana kuliko wenzakee

Misaada ya Mengi ni biashara kwani akitoa msaada hukimbilia kwenda kuomba misamaha ya kodi, Mengi hana cha bure kila kitu kwake ni Dili.
 
Nimekulewa bwana kumbe bilionea mengi huwa anatoa kwa malengo maalumu(to seek public sympathy )sio corporate social responsibility au fungu la kumi aka zakaa
 
Hivi lengo la kutoa msaada huwa ni social responsibility kwa wale walionacho au huitwa zaka au huwa ni kutafuta support kutoka kwa hao watu uliowasaidia kama ni hivyo watu wote wenye pesa wakiamua nchi haitatawalika
 
Ndugu zangu wanajf habari ya jioni nyote,

Nimekuwa mdau rasmi wa jf kuanzia leo baada ya kuwa msomaji kwa mda mrefu bila kuchangia nimeona nami nijisajili niweze kuchangia mawazo yangu ili kuleta changamoto za hapa na pale.

jambo kubwa ambalo limenifanya niweze kuwa mwanachama rasimi wa jf ni hii tabia inayofanywa na mfanyabiashara mkubwa hapa nchini mzee Reginard Mengi kwa kujifanya yeye ni mtu msafi na kutaka chochote anachotaka yeye lazima kiwe hata kama kipo kinyume na sheria.

Historia inaweka bayana mengi anaposhindwa kupenyeza matakwa yake popote pale anageuka kuwa adui wa mtu ambaye hajaruhusu kifanyike kile anachotaka mengi.

Nimekelwa sana na tabia ya vijana wa mengi wanaotumwa kuweka mada za kumchafua waziri wa nishati na madini mh muhongo kisa tu hakuruhusu mengi apewe kitaru cha gesi cha bure bila kufuata utaratibu.

mengi amekuwa adui wa muhongo tangu hapo amekuwa na jitihada za kushinikiza aondolewe kwenye nafasi ya uwaziri ili yeye mengi apate urahisi kitaru cha gesi bila kufuata utaratibu jambo ambalo muhongo amekuwa akipinga na kusisitiza usawa kwa watu wote siyo kwamba mengi asifuate sheria halafu wengine wafuate sheria hiyo haiwezekani.

miongoni mwa watu wanaotumiwa na mengi hapa jf ni pamoja na kijana mmoja ambaye anadai katoka ukoo wa nyerere kumbe mhuni kama wahuni wengine tu na mwingine sijui anaitwa mtoli sijui mtoi kitu kama hicho waliweza kuanzisha mada wakidai mara muhongo atengezeza magari ya polisi ili apate ulinzi mara muhongo ahutubia magu mwanza na kudai kuwa hataweza kuachia uwaziri.

Baada ya kufuatilia nimegundua vyote hivi ni uongo muhongo alipita mwanza nimeambiwa na watu wa magu kuwa hata kusimama hakusimama pale achilia mbali kuhutubia,hivi inakuweje mtu ambaye hakusimama kwenye hilo eneo aweze kutoa hotuba.

Mengi pia amekuwa akitumia gazeti lake la nipashe kwa malengo yale ya kumchafua waziri japo watu wengi wenye upeo mpana wanajua kuwa mengi ni mfanyabiashara tapeli anayeendesha biashara kitapeli kwa kukwepa kodi na kukopa mikopo bila kulipa.

Tangu taifa hili lipate uhuru sijawahi kuona waziri mwenye msimamo kama muhongo kwa kuweza kumdhibiti fisadi mkubwa kama mengi mpaka anaanza kulia kama mtoto na kutumia vijana wahuni na magazeti yake kumsaidia mapambano hapo ndipo niliamini kuwa muhongo ni kiboko ya mengi ndiyo maana hata jina langu nimependa liwe kiboko ya mengi ili nimuenzi waziri wa nishati na madini kwa moyo wake mkubwa wa kukataa kuyumbishwa na fisadi na kusimama kwenye sheria na taratibu.

Nimshauri mengi afanye biashara halali asitake kuingilia kazi za serikali ili biashara zake zikue kupitia utapeli wa kupewa bure mali ghafi zetu,lakini pia namuonya mengi ajiangalie tena amshukuru mungu tanzania inarais mstarabu ambaye hapendi vurugu kwa marais wenye roho za paka halafu uingilie kazi za serikali kama anavyofanya mengi angekutana na adhabu kubwa sana ikiwemo kufirisiwa kwa kukwepa kodi na ufisadi.
 
Nawatakia michango miema yenye kujenga naenda kwenye kijiwe cha gahawa kidogo ntakuja kujibu maswali yetu yote mtakayouliza mimi ndiyo kiboko ya mengi prf muhongo waziri wa nishati na madini nashoonya tu sipindishi moja ongeza moja ni mbili siyo moja wenye matusi nawaonya hata mie nayajua nimekulia mjini nayajua yote makubwa na madogo kwahiyo tafadhari ni vema kuchangia kwa busara.
 
Ha ha ha ha ha ha ha,jamaa mbabe huyu kweli anamwakilisha muhongo ila kuhusu mengi umesema kweli tupu.
 
hii ndo shida ya kupiga viroba tangu asubuhi mwisho wa siku zinakuja thread za mazingaombwe kama hizi
 
ID Name yako tayari inakuondolea credibility ya kupost kitu chochote against Mengi. Hao unaowatuhumu kuwa ni mapandikizi ya Mengi wako JF kabla hata huyo Muhongo hajateuliwa hivyo viti Maalumu. Kwanini tusiseme wewe ndio Pandikizi la Muhongo?
 
Matatizo ya kunywa supu ya utumbo asubuhi na mchana ni makubwa sana.
 
Mengi akisoma hapa lazima ajifunze kitu kwa nia njema tu kunasomo ndani yake.
 
hivi kauli ya watabzania hawana uwezo wa kueekeza katika mafuta na gesi unaiona ni ya kizalendo? kama serikali ili kuhakikisha uchumi wa tz unabaki tz, serikali imewasaidia vipi wazawa kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa?
 
Nawatakia michango miema yenye kujenga naenda kwenye kijiwe cha gahawa kidogo ntakuja kujibu maswali yetu yote mtakayouliza mimi ndiyo kiboko ya mengi prf muhongo waziri wa nishati na madini nashoonya tu sipindishi moja ongeza moja ni mbili siyo moja wenye matusi nawaonya hata mie nayajua nimekulia mjini nayajua yote makubwa na madogo kwahiyo tafadhari ni vema kuchangia kwa busara.
Mkuu, kumbe Mh. Hakusimama hata kusimama? Yeriko Nyenyere alitoa wapi ule ujinga aliouandika? Utakuwa umemkomesha, ngoja tumsubiri aje kubwabwaja.
 
Katawaze kwanza...umetoka tu chooni na harufu ya kinyesi...umekimbilia jf.Mzee mengi ama kwa heshima iliyotukuka na muita mwenyekiti.hajawahi na hatawahi kuwa fisadi kama unavyotaka kutuaminisha.Mzee wetu mengi ni mtu wa huruma na mwenye mapenzi mema na nchi yake.mzalendo wa kweli.kinyume chake wewe mtoa mada ni jizii...tena jangili.umetajwa kila kona.haya jibu tukujibu.nitamtetea Mzee mengi hadi tone langu la mwisho.
 
hivi kauli ya watabzania hawana uwezo wa kueekeza katika mafuta na gesi unaiona ni ya kizalendo? kama serikali ili kuhakikisha uchumi wa tz unabaki tz, serikali imewasaidia vipi wazawa kutumia rasilimali za taifa kwa manufaa ya taifa?
Kwa hiyo kauli ya Muhongo ni mengi peke yake ndo ilimkasirisha kati ya watanzania zaidi ya mil.45?
 
Katawaze kwanza...umetoka tu chooni na harufu ya kinyesi...umekimbilia jf.Mzee mengi ama kwa heshima iliyotukuka na muita mwenyekiti.hajawahi na hatawahi kuwa fisadi kama unavyotaka kutuaminisha.Mzee wetu mengi ni mtu wa huruma na mwenye mapenzi mema na nchi yake.mzalendo wa kweli.kinyume chake wewe mtoa mada ni jizii...tena jangili.umetajwa kila kona.haya jibu tukujibu.nitamtetea Mzee mengi hadi tone langu la mwisho.
Hapa mtaishia kutukana tu, mmeguswa makalio
 
Back
Top Bottom