kaka km
JF-Expert Member
- Nov 16, 2013
- 1,336
- 694
funza,
Ni vigumu sana funza kupata akili inayoweza kuelewa kama binadamu.
Mimi ni binadamu mwenye akili nzuri.
Akili ya funza inahusisha makosa, ufisadi au kutumiwa kwa Muhongo kufanikisha wizi wa fedha zetu binadamu wa Tanzania na mfanyabiashara aitwaye Mengi bila sababu yoyote.
Tangu lini funza na wenzake wakaweza kijilinda au kulinda jamii na mali zao?
Sisi binadamu tunajua kuwa Muhongo ni mwenzetu, tunamheshimu.
Hata hivyo, ndugu yetu wa damu kabisa akifanya upuuzi unaosababisha hasara kwa familia au jamii, lazima awajibishwe na mwingine apewe nafasi yake ili iwe fundisho kwa wengine wasuuge upuuzi wake na pia wawe makini kwa faida ya jamii.
Muhongo awajibishwe kwa makosa na kiburi chake, pia upuuzi wa kutetewa na funza kama wewe ambaye hawezi kujua kuwa ushiriki wa wengine kwenye kosa siyo utetezi.
Hayo makosa ya muhongo ni yapi?mbona hayatajwi?yataje.
Kiburi kinahusiana vipi na utendaji kaz wa mtu?je ameshndwa kufanya kazi kwa sababu ya kiburi chake? Je amemfanyia bosi wake kiburi?
Kiburi kinamfanyaje mtu afukuzwe kazi?unapimaje kiburi,yaani unawezaje kusema hiki ni kiburi au la maana yawezekana kwako ukaona ni kiburi mwenzako akaona sio kiburi,nipe universal method ya kutambua kiburi.