Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?

Ndiye anayewapa siri za CHADEMA sasa mnataka kumtosa?
 
Dk Slaa hapaswi kuja hapa kuthibitisha kama aliyetajwa ni mwajiriwa wa Chadema au la, wa kuthibitisha ni mwenye kuteta tuhuma hiyo, na ndio kanuni za ushahidi, hata hivyo kuzungumzia kwamba kuna uzembe katika Tamisemi, tukiwatetea tamisemi basi tuichukulie hatua serikali kwa sababu waziri anaweza kubadilishwa lakini kwa miaka yote tumekuwa tukiongozwa na serikali ya Chama cha Mapinduzi inayobadilisha mawaziri wasiochukua hatua. Tusipoona tatizo kwa Waziri basi tuone tatizo kwa Chama kinachounda serikali isiyochukua hatua

Kama hamhusu kwa nini anamtetea?!,Kwa taarifa yako Isango taarifa yoyote ambayo unaona Dk Slaa kajitokeza kujibu ujue ni ya kweli.tambua hilo kuanzia leo.
 
Bwana Mtimbichi usichanganye siasa, ushabiki wa kisiasa na Makosa mbali mbali ya kikazi. Hebu tuambie huyu Mhasibu ameshitakiwa mahakamani na waajiri wake mara ngapi? amepatikana na hatia mara ngapi na alihukumiwa nini? Alifungwa au alitozwa faini? Kama hayo huna, basi huna sababu ya msingi ya kumsakama.

Unaikumbuka list of shame????!!!!

Hebu jiulize tena haya maswali
 
tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!

Msukule utaujua tu sasa hata kama master wako anajibu nonsense tusikilize tu pumba zake?
 
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?

kasome vzr hii hadithi afu uikariri vzr ndo uje utokwe na sarufi hapa jf wap ulishaona mwasibu anaiba peke yake?? hujui ata utaratibu wa pesa za serikali ww!! kaa pemben usiongozwe na hisia
 
Mkuu with all due respect
Kwanza kabisa nianze kwa kusema sina imani sana na ID hii tena kama kweli majibu haya umeyatoa wewe kama Dr Slaa au mtu mwengine..............

Hoja iliyopo mezani ni awe muhasibu mkuu au karani wa mahesabu or whatever kuwa amevurunda. lakini sasa kama utachukulia kuwa kwake huru kutokana na uzembe wa CCM na vyombo vyake vya dola ndio kuhalalisha mdhambi yake nadhani ni kukosa hoja na umakini kuliko pitiliza. List of shame si walikuwa wanadunda mitaani?

Halafu hizi tabia kama za kina Ben Saanane za kujua kutuhumu pale mnapohisi bila ushahidi just kwa kuunganisha matukio. lakini mnapo tuhumiwa ninyi mnataka tuweke ushahidi hata kwa vitu vipo wazi kabisa. ushahidi gani unataka uwekwe hapa?

Wewe kama katibu mkuu nilitegemea ama ukanushe au kama huna taarifa sahihi kuhusu huyo bwana fanya uchunguzi wako chukua hatua vingnevyo hii Id ina walakini

Kulikua na ulazima gani wa kunitaja taja kwenye comments zako?

Halafu huoni aibu kuiabisha serikali yako?Kama mtu anweza kufanya uozo kiasi hicho na kuhamishiwa halmashauri kadhaa huoni aibu kukiri hili hadharani?Mnadhani mnamchafua yeye na CHADEMA kumbe mnazidi kuivua nguo serikali yenu chini ya TAMISEMI

Umeambiwa leta ushahidi lakini unataja taja watu majina kama wanamuziki wa FM Academia tu.
 
stop jumping over a moving wagon! This is between me and a black widow, FaizaFoxy, ukome na uache umbea kama Kikwete or else I'll find a suitable place and hit you . . . . . Always there is a line that you should never cross . . . .

Wacha porojo wewe, JF ni open forum, tuna na nini between mimi na wewe? koma. ushaanza uongo wenu.

cc MwanaDiwani
 
Last edited by a moderator:
Hivi haya majibu ya kisanii ni ya kwako kweli au kuna mtu anatumia akaunti yako. Maana nilitegemea wewe ndo utatutoa gizani kwa kutueleza iwapo ni kweli CHADEMA ina mtu huyo ktk Idara yake ya Uhasibu. Lakini kwa majibu haya, nimechoka mwili na roho.

Lakini kila mtu ana haki yake kwanza ya kuzaliwa, kisheria na kikatiba. Y akuzaliwa kwamba si vizuri uanze kum-expose mtu hata kama alikotoka alivulunda inategemea mazingira yaliyosababisha hali mengine ya mtu mwenyenwe na mengine ya kiofisi. Kisheria, huyu mtu analindwa na sharia ya kazi ya 2006 ambayo inatoa haki kwa mwajiriwa. Nyie kama milifikiri ni sahihi Dr.Slaa aanze kutoa siri za mwajiriwa basi hiyo ingekuwa purely unprofessional. Lazima haki za mtu ikiwemo na confidentiality ilindwe. Tatu Katiba ya nchi pamoja ubovu wake hairuhusu mtu kumwanika
 
Dr kwa majibu haya unatupa kazi ya kuwajibu hawa wahuni kwa taabu. Hebu njoo ufunguke zaidi

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Mkuu Mungi,unajua na unatambuw kwamba mara nyingi post zako huwa siziungi mkono kwa sbb huwa zinabase upande mmoja.Lakini naomba leo nikwambie kwamba unastahili kuwa katibu mkuu w Chadema.FULL STOP!!!!
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

unaweza kukuta eti nawe ni waziri!!!!
 
Kulikua na ulazima gani wa kunitaja taja kwenye comments zako?

Halafu huoni aibu kuiabisha serikali yako?Kama mtu anweza kufanya uozo kiasi hicho na kuhamishiwa halmashauri kadhaa huoni aibu kukiri hili hadharani?Mnadhani mnamchafua yeye na CHADEMA kumbe mnazidi kuivua nguo serikali yenu chini ya TAMISEMI

Umeambiwa leta ushahidi lakini unataja taja watu majina kama wanamuziki wa FM Academia tu.

Kumbe unaumia ukitajwa sio?? Mbona wewe bingwa wa kutaja watu?? Hilo la kwanza.

Pili, Jibu hoja huyo mtu yupo CDM??
 
Kulikua na ulazima gani wa kunitaja taja kwenye comments zako?

Halafu huoni aibu kuiabisha serikali yako?Kama mtu anweza kufanya uozo kiasi hicho na kuhamishiwa halmashauri kadhaa huoni aibu kukiri hili hadharani?Mnadhani mnamchafua yeye na CHADEMA kumbe mnazidi kuivua nguo serikali yenu chini ya TAMISEMI

Umeambiwa leta ushahidi lakini unataja taja watu majina kama wanamuziki wa FM Academia tu.
Umetajwa wewe kwa kuwa unakiherehere ukisikia babu Slaa anatajwa

tumia akili bibi, mimi nikija na thread kuwa ni kichawi na malaya inatosha kuliaminisha jukwaa kuwa ni kweli?

Kama ni gwanda na bavichaa tunajuwa hamna ukweli ndani yake, si mnajulikana mpaka Ikulu kwa uongo.

Hapo mtu kaja na jina kaja na sehemu alizofanya kazi na ameandika mmemuajiri, kama ni permanent kama ni past time, mseme nyinyi sasa. Mlitaka aje na maandiko yepi tena?
 
Kulikua na ulazima gani wa kunitaja taja kwenye comments zako?

Halafu huoni aibu kuiabisha serikali yako?Kama mtu anweza kufanya uozo kiasi hicho na kuhamishiwa halmashauri kadhaa huoni aibu kukiri hili hadharani?Mnadhani mnamchafua yeye na CHADEMA kumbe mnazidi kuivua nguo serikali yenu chini ya TAMISEMI

Umeambiwa leta ushahidi lakini unataja taja watu majina kama wanamuziki wa FM Academia tu.

Habari Mkuu Ben Saanane!

kwanza fuatilia huyu jamaa ujue ilikuwaje akatoka serikalini,

Pili,Chadema mmekuwa na rekodi kubwa sana ya kula matapishi,namaanisha kwamba ukiangalia hata baadhi ya wabunge wenu ni wale waliotoswa ndani ya ccm na kukimbilia kwenu kwa kigezo cha kuonewa!

Mfano mzuri muangalie Shibuda,hadi ninyi wenyewe mnamdharau!

Mimi nadhani ukweli daima ni mzuri hebu angalia comment za Mkuu Mungi,amejibu kianaume kwelikweli leo.

Mwisho huyo jamaa asikuchanganye mpaka ushindwe kujikita kwenye mada na majibu sahihi yenye kukujenga na kukijenga chama pia.
 
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?

Kabla ya kuwa Askofu Mkuu, Bw. Zachary Kakobe alikuwa mwanamuziki (Editions Mulanga 1970s) na mutu ya raha sana.......binadamu hubadilika kutokana na mazingira na matukio ndugu
 
Nani sasa akanushe wakati unaambiwa unabisha? Naona unawashwa makalio unataka kuvurugwa,vinginevyo weka uthibitisho wewe boya

Hivi ndani ya ccm kuna mtu wa kumnyooshea mtu kidole kweli? Wanafiki,wazandiki,malaya,machangudoa akina Faizafox ,wezi,wapiga dili,wauza unga eti na nyie mnajiona wasafi?

Hamna msafi ndani ya ccm wa kumnyooshea kidole mwenzake pale woote wameoza tusidanganyane

Naona ushuzi umekubana una jamba jamba tu hapa, mnaambia maharage ni mbegu ninyi munayatumia kwa mbona unaona sasa madhara yake
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
HII NI AIBU KWA BABU, NA CHADOMO.
Hivi inakuwaje huyu mzee anakurupuka to this extent..? halafu hii akaunti si alipewa ben saanane aiendeshe sasa imekuwaje tena..?
 
Lakini kila mtu ana haki yake kwanza ya kuzaliwa, kisheria na kikatiba. Y akuzaliwa kwamba si vizuri uanze kum-expose mtu hata kama alikotoka alivulunda inategemea mazingira yaliyosababisha hali mengine ya mtu mwenyenwe na mengine ya kiofisi. Kisheria, huyu mtu analindwa na sharia ya kazi ya 2006 ambayo inatoa haki kwa mwajiriwa. Nyie kama milifikiri ni sahihi Dr.Slaa aanze kutoa siri za mwajiriwa basi hiyo ingekuwa purely unprofessional. Lazima haki za mtu ikiwemo na confidentiality ilindwe. Tatu Katiba ya nchi pamoja ubovu wake hairuhusu mtu kumwanika

Good,ungekuwa wewe ni katibu wa chama ungejibu in the same manner with the same tone?????!!!!
 
Habari Mkuu Ben Saanane!

kwanza fuatilia huyu jamaa ujue ilikuwaje akatoka serikalini,

Pili,Chadema mmekuwa na rekodi kubwa sana ya kula matapishi,namaanisha kwamba ukiangalia hata baadhi ya wabunge wenu ni wale waliotoswa ndani ya ccm na kukimbilia kwenu kwa kigezo cha kuonewa!

Mfano mzuri muangalie Shibuda,hadi ninyi wenyewe mnamdharau!

Mimi nadhani ukweli daima ni mzuri hebu angalia comment za Mkuu Mungi,amejibu kianaume kwelikweli leo.

Mwisho huyo jamaa asikuchanganye mpaka ushindwe kujikita kwenye mada na majibu sahihi yenye kukujenga na kukijenga chama pia.
Mkuu huyo mtu anayeitwa Ben Saanane cdhani anaweza hata kwenye maisha yake cku moja akajibu kama Mungi hapo juu kwa kumkosoa Dr Slaa.
Kwa hilo tujiulizeni sana kuhusu hawa watu.Obvious jibu la Dr ni la ajabu,lakin angalia alivyoruka ruka na kuwa msimamo mmoja na dr.
Ni aibu kuwa na majitu ya hivi,basi tu system zinayabeba.
 
HII NI AIBU KWA BABU, NA CHADOMO.
Hivi inakuwaje huyu mzee anakurupuka to this extent..? halafu hii akaunti si alipewa ben saanane aiendeshe sasa imekuwaje tena..?

Wewe bibi comment yako inaonyesha wazi bila kificho ni jinsi gani unaitamani CHADEMA. Ha ha ha.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom