Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Tunashukuru kwa mleta mada ha jf, naomba utujulishe vituo alivyofanya kazi na kashfa alizokuwa nazo kila kituo
 
Mkuu huyo mtu anayeitwa Ben Saanane cdhani anaweza hata kwenye maisha yake cku moja akajibu kama Mungi hapo juu kwa kumkosoa Dr Slaa.
Kwa hilo tujiulizeni sana kuhusu hawa watu.Obvious jibu la Dr ni la ajabu,lakin angalia alivyoruka ruka na kuwa msimamo mmoja na dr.
Ni aibu kuwa na majitu ya hivi,basi tu system zinayabeba.

Ben Saanane

Nilikueleza juzi ukaishia kuleta ujeuri,soma hii maneno na ukiwa sobber digest calmly!!!!

The alarm is getting louder!!!!!!

Be pre cautious or burry the dead!!!!!!
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?

Hapa ndio nafahamu kwanini wananchi hawataki kuipa Chadema ridhaa ya kuongoza nchi.

Endapo Chadema itakuwa madarakani watakuwa na one big simple excuse kwa kila failure na excuse yao itakuwa "CCM did this thats why we can not accomplish that". Kwa hili jibu lako simple inaashiria hampo tayari mzee. Bora uendelee na ziara ya marekani ukitoka pitia Europe kabisa.
 
Dr.W.Slaa
===>Mleta mada hajakosea hata kidogo,ichukueni hii kama taarifa na muifanyie kazi
===>Kama huyo Bwana yupo na mmemuajiri na mkigundua kuwa ana makosa mumuondoe kwenye hiyo nafasi
===>Jitahidini kufanya kazi kitaalamu kidogo,kabla ya kuajiri watu angalau mfanye ka "Vetting hata kadogo tu" si mna kitnego cha usalama?kazi yake ni nini?mojawapo ya majukumu yake ni kuangalia watu wa kuajiri.
===>Mnalalamika kila siku kuwa kuna watu wanavujisha siri za chama,kama hamna utaratibu wa kuajiri mnategemea siri zisivujue?
===>Nina wasiwasi na majibu ambayo siku hizi umekuwa ukijibu hapa JF,nina wasiwasi kama unajibu wewe mwenyewe,kama kuna Admin umempa asimamie acc yako hapa JF mwambie akuulize nini cha kujibu kabla hajakurukupa,haya majibu sio mazuri na hayajitoshelezi kabisa.
===>Kurugenzi ya habari ya CDM inafanya kazi gani?au bado wamelala mpaka saa hizi?wao ndio wanawajibika kujibu vitu vidogo vidogo kama hivi.


Mkuu Cheche Mtungi nadhani umemaliza hoja yangu!
Naona CDM Makao makuu wanambebesha mizigo mingi Dr.Slaa bila sababu au Dr.W.Slaa mwenyewe anakumbatia kila kazi.
Sioni sababu yoyote kwa taasisi kubwa kama CDM kila mara majibu /maelezo kuhusu CDM yawe yanatolewa na Katibu Mkuu pamoja na kuwa yeye ni mtendaji mkuu lakini kuna watu wameajiriwa na wanalipwa kwa kazi hizo Tumaini Makene

Jingine kubwa hapo kwenye maandishi mekundu kuna ukakasi mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?

Pilipili iliyoko shamba.... toa ushahidi na sio mtori ulioweka hapo.
 
tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!

Hamna anayebishana na dr.slaa,a great person as u said.na unauhakika gani kama wote wanaobishana ni watz,hebu leta hoja juu ya mada husika,tuone mchango wako ndio lengo hasa la jamvi,na si mabishano au kujinadi ubora wako au taifa unalotoka.
 
Mkuu huyo mtu anayeitwa Ben Saanane cdhani anaweza hata kwenye maisha yake cku moja akajibu kama Mungi hapo juu kwa kumkosoa Dr Slaa.
Kwa hilo tujiulizeni sana kuhusu hawa watu.Obvious jibu la Dr ni la ajabu,lakin angalia alivyoruka ruka na kuwa msimamo mmoja na dr.
Ni aibu kuwa na majitu ya hivi,basi tu system zinayabeba.


Mkuu ndio maana mimi nawaza sana kukihamanchama changu kwenda chama kingine ni miaka mingi nafikiria jambo hili lakini naona ni kupoteza muda ni bora kuwemo humo mvurugane ili heshima ipatikane na mambo yaende,sio kila jambo unapaswa kutetea bosi wako,kuna mambo unapaswa kumnyooshea bosi wako kidole kwamba hapa umekosea,haya ndio baadhi ya mambo yaliyoifikisha ccm hapa ilipo hivi sasa ingawa sasa wanafunguka akili ingawa sisi tuliwahi kuyaona mapema na kuyasema!

Tukiachana na masuala ya Propaganda na siasa nyinginezo Ben nimemfuatilia kwa ukaribu hadi nikamfahamu,ni kijana ambae ukimuona unaamini kabisa kwamba ni hazina kwa taifa hili,ila tu nadhani kukosa ajira na mambo mengine ndio labda inamfanya awe hivyo,binafsi ukiachana na mambo mengine bado naamini kwamba akiungana na kundi la vijana wenye nia ya dhati ya kuiletea nchi mabadiliko anaweza tu kuachana na vitu kama hivi.Ben Niwie radhi mkuu.
 
Kulikua na ulazima gani wa kunitaja taja kwenye comments zako?

Halafu huoni aibu kuiabisha serikali yako?Kama mtu anweza kufanya uozo kiasi hicho na kuhamishiwa halmashauri kadhaa huoni aibu kukiri hili hadharani?Mnadhani mnamchafua yeye na CHADEMA kumbe mnazidi kuivua nguo serikali yenu chini ya TAMISEMI

Umeambiwa leta ushahidi lakini unataja taja watu majina kama wanamuziki wa FM Academia tu.
Ben Saanane
===>leo CDM hatuwaungi mkono mpaka mje na ukweli hapa,mipasho haifai,kama mlikosea rekebisheni,hakuna binadamu mkamilifu,lakini iwe fundisho,siku nyingine mfanye kazi kitaalamu hata kidogo
===>Mkijua kulaumu na kukosoa lazima na nyie mjue na mjifunze kukosolewa,nyie sio malaika kwamba kila mnachokifanya kiko sahihi
===>Ili mlinde credibility ya Dk Slaa kuweni makini na majibu anayojibu,na pia sio lazima kila kitu ajibu yeye,mambo mengune ni madogo sana
===>Kama kuna mtu anatumia acc ya Dk Slaa kama admin wake aangaliwe vizuri,kuna siku mtakuja kulaumina hapa.
 
Last edited by a moderator:
Kwa serikali ya sasa chini ya CCM sitoshangaa kusikia mtumishi safi anayesimamia haki, sheria, taratibu na kanuni za kazi yake akifukuzwa kazi eti kwa kisingizio kama wizi, uwezo mdogo wa utendaji nk. Hii hutokana na mfumo mbovu uliopo sasa ambapo mtu huyo safi hawezi kuendana nao yaani kuwa mwizi, mzembe nk. Kumbe ukiwa tofauti nao lazima utaundiwa zengwe hasa kuanzia gazi za madiwani ili ufukuzwe kazi na utaondoka tu maana wanasema wao ndio waajiri na wana mamlaka hayo .

Kumbe basi napata wakati mgumu sana kumhukumu huyo anayeitwa Mhasibu mkuu wa Chadema, huenda naye alikuwa akifanya kazi kwenye mazingira niliyoyazungumza hapo juu, ila inabidi achunguzwe.

Hayo niliyoyasema siyo mageni hapa Tanzania hasa kwenye halmashauri za majiji, miji, manispaa nk, kuna watu safi kabisa wamefukuzwa kazi, wengine imewabidi kuacha kazi na kutafuta kwingine na wengine wamelazimika kuendana na mfumo uliopo na kugeuka kuwa wezi wakubwa tu.

Mnaotaka ushahidi huo, muulizeni Mwenyekiti wa CCM Taifa, ambaye pia ni Rais wa JMT Ndg Kikwete moja ya mambo ambayo anakili hatoyasahau ni kuingizwa mkenge na kulidhia kufukuzwa ama kumfukuza kazi mtu ambaye alikuwa very innocent katika kuokoa mali ya umma lakini waovu wakamuwahi na kutoa taarifa as if yeye ndio alikuwa mwizi, ilipogundulika baadaye sana, mtu alishaumizwa, Rais bado anasononeka. Mkoa wa Tanga ndio asili ya kisa hicho, lakini vipo vingi ambavyo sio reported. Wakuu wengi wa idara kama Uhasibu, Uhandisi nk wametendwa na mfumo huo, wengine wamekimbia, wengine wameji twist sasa nao ni wezi na wengine wamefukuzwa pia.

cc HAMY-D FaizaFoxyna wengine hasa wafuasi wa CCM na Chadema
 
Last edited by a moderator:
Mleta mada ametumia ujuzi wa hali ya juu kueleza dukuduku lake zidi ya uzembe wa serikali ya ccm bila kuathili posho yake ya siku.
1) Anaweka wazi kuwa ndani ya serikali ya ccm kunanuka rushwa, unaweza ukahonga na mambo yakaisha.
2) Ni kawaida kwa mwana ccm kuwa muongo, mnafiki, mfitini na mzandiki.
UJUMBE WAKO UMEFIKA NA NINAAMINI POSHO YAKO HAIJAATHILIKA.
CDM ikiingia madarakani itawashughulikia mafisadi na wala rushwa wote.
 
Wacha porojo wewe, JF ni open forum, tuna na nini between mimi na wewe? koma. ushaanza uongo wenu.

cc MwanaDiwani


kwi kwi kwiiiii!!
am not after a widow's 'adam's apple' a.k.a. 'zainab binti maringo'! My 'abdala kichwa wazi' is too smart to get into the used up and drilled up 'apple' using many kee kee. FaizaFoxy
 
Last edited by a moderator:
Mkuu Cheche Mtungi nadhani umemaliza hoja yangu!
Naona CDM Makao makuu wanambebesha mizigo mingi Dr.Slaa bila sababu au Dr.W.Slaa mwenyewe anakumbatia kila kazi.
Sioni sababu yoyote kwa taasisi kubwa kama CDM kila mara majibu /maelezo kuhusu CDM yawe yanatolewa na Katibu Mkuu pamoja na kuwa yeye ni mtendaji mkuu lakini kuna watu wameajiriwa na wanalipwa kwa kazi hizo Tumaini Makene

Jingine kubwa hapo kwenye maandishi mekundu kuna ukakasi mkubwa!


Hivi KATIBU MKUU sindio Mwajiri MKUU kwenye CHAMA? au Alitakiw aajibu nani hili?
 
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?


Aisee kweli akili za Lumumba ni kamasi sana.
 
Heshima yako Dr,

Mimi sikukosoi ila nakushauri tu kuwa siku nyingine ungemjibu mleta mada kuwa mhasibu mkuu wa chadema ni nani na aliajiriwa kwa vigezo vipi

Je nafasi ya kazi ilitangazwa?

Kama ilitangazwa, kwenye gazeti lipi?

Pia tungependa kujua kama unamfahamu huyu mtu anayeitwa Mwaluisi tafadhali.

Nadhani majibu hayo kama yangetolewa ungekuwa ndio mwisho wa hii thread ....

Hivi wewe shule yako ni level gani? Jamani naomba mfahamu kuwa principles za recruitment and selection..si lazima kazi zitangazwe. Unaweza ukafanya internal recruitment. Mfano kuna baadhi ya nafasi kwenye organization nyingine ni very sensitive. Inaruhusiwa wafanyakazi(current employers) kuleta majina ya watu wanaowafahamu na waliotimiza vigezo kujaza nafasi hizo. It is acceptable. Lukosi akili yako ina ukosi, nenda kasoma kwanza msije hapa na mawazo kamasi tu.
 
Maandishi yepi tena, kwani hayo ni nini?

Documentary mdada siyo mere heresay, hata mimi naweza sema fulani ni muuaji but statement yangu inapaswa kuwa corroborated mtu kama ni mwizi anapaswa kushughulikiwa kwa sheria za nchi na siyo kuchafuana kusiko na msingi, bila utafiti yatupasa tuache uropokaji.
 
Hata hueleweki unaongea nn wewe muulize mwaluisi ni wangapi katoka nao huko tamisemi aliokuwa anakula nao alafu kaulize familia ya marehemu hawa ngulume inavyomchukia huyo jamaa kwa alivyomfilisi mama yao .chezea wa tz wanadata bwana mwambie slaa ajipange kujibu kama sio yeye amejibu basi josephine aache kuropoka my take: tujadili mada ni ya kweli tuache porojo
[/RIGHT]6]kasome vzr hii hadithi afu uikariri vzr ndo uje utokwe na sarufi hapa jf wap ulishaona mwasibu anaiba peke yake?? hujui ata utaratibu wa pesa za serikali ww!! kaa pemben usiongozwe na hisia
 
HII NI AIBU KWA BABU, NA CHADOMO.
Hivi inakuwaje huyu mzee anakurupuka to this extent..? halafu hii akaunti si alipewa ben saanane aiendeshe sasa imekuwaje tena..?

Nashukuru sana Juliana Shonza kwa huduma ya jana pale Guest Sinza. Naona umeamka umechoka akili bado haijakaa vyema, pole sana. Nasubiri siku thelathini nikapime tu, maana watu tisa per one night ni majanga. Ila huduma yako nzuri, big up.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom