bluetooth
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 4,401
- 2,560
Hivi wanaJF nisaidieni tangu lini mgonjwa akamshauri daktari
haaa haaaa haaaa
kicheko cha kwanza kabisa siku mpya ya leo, ngoja nianze safari yangu salama
all the best mkuu
Hivi wanaJF nisaidieni tangu lini mgonjwa akamshauri daktari
Majibu yako hayajitoshelezi,kama katibu mkuu ulipaswa kuyafanyia kazi maelezo au hoja na si kupayuka ni mtu wa mitaani pekee ndie anaeweza kujibu hivi.Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
As I said...usitarajie unikere kwa kunifanya mimi kuwa wa jinsia ya kike. Because that doesn't change the fact that, HAMY-D is a man.
I can tell it a wastage of time and resources. Why can't you try something else?, something that is going to really touch me, if that what keeps you in here.
Maandishi yepi tena, kwani hayo ni nini?
umepost saa 6:22 usiku, huna mume! Black widow
To my level of politics understanding. . . . .very difficult a person of such abuse to join the opposition side, i think you didn't tell us the other side!Anafahamika kwa jina la mwaluisi ndio mhasibu mkuu cdm mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake ichoicho, tatito huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kulob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule, na mwisho alikuwa h/shauri ya mbozi akavuta ela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kulobu akatakiwa arudi mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache ivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda chadema najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.? Mods msiondoe huu uzi tujadili kama huyu mtu anaweza kuwa mwaminifu ndani ya cdm
Anafahamika kwa jina la mwaluisi ndio mhasibu mkuu cdm mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake ichoicho, tatito huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kulob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule, na mwisho alikuwa h/shauri ya mbozi akavuta ela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kulobu akatakiwa arudi mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache ivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda chadema najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.? Mods msiondoe huu uzi tujadili kama huyu mtu anaweza kuwa mwaminifu ndani ya cdm
Majibu yako hayajitoshelezi,kama katibu mkuu ulipaswa kuyafanyia kazi maelezo au hoja na si kupayuka ni mtu wa mitaani pekee ndie anaeweza kujibu hivi.
Pro chadema ulizeni kama haya yaliyo andikwa ni kweli juu ya huyu mhasibu mkuu wa chama kinacho tarajiwa kupewa nchi mwaka 2015, msianze kutukana watu hapa JF. Dr slaa tulitegemea useme Mwaluisi ni mhasibu au sio mhasibu chadema,pia ungesema yanayosemwa ni kweli juu yake au propaganda! Wewe unakimbilia waziri wa tamisemi ajiuzulu huyu kaanza ufisadi mda mrefu kwa maelezo tajwa,chadema na hasa katibu mkuu chadema ambae ndie mwajiri mkuu hukujua hilo????? Chadema ebu kuweni makini kama kweli mntaka 2015 muongoze nchi msifanye mambo kwa mzaha mzaha!
tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!Majibu yako hayajitoshelezi,kama katibu mkuu ulipaswa kuyafanyia kazi maelezo au hoja na si kupayuka ni mtu wa mitaani pekee ndie anaeweza kujibu hivi.
tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!
A serious discussion is reduced to fanatic!
Hii lugha ilikuja nchini kwa meli. Bora hata ungetumia lugha ya mama yako ungeeleweka vizuri kuliko kutumia lugha ya kigeni.tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!
tz guys are so bogus such ways. . . . .how dare you argue with a great person this way! Don't your personal senses alert you that, this is a golden chance with him so you must exploit all senses to create strong argument against him? You keep thinking its so easy to win that status of Dr. Slaa! Maskini watz!
Uhasibu sii Siasa, kama alivurunda ni kwa ajili ya weakness ya maboss wake ilautaratibu na principle zikifuatwa hakuna kinachoharibika,akiharibu mkondo wa sheria utafuata.
Hivi wewe unafikiri jamiiforums inafunguka kwa watu walioko Tanzania peke yake. Umemuuliza akakwambia wakati anapost alikuwa Tanzania.umepost saa 6:22 usiku, huna mume! Black widow
hao chadema si wezi wenzake ndio maana wamemuweka hapo ili waibe vizuri,kataa tuone!
nalog off