MTIMBICHI
JF-Expert Member
- Apr 15, 2013
- 946
- 214
Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.
Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda CHADEMA.
Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?