Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Umerogwa?

karogwa baba yako mlezi (maana hujui babako mzazi), mdogo wako, mamako, jirani yako, nyumba yako etc

Huna hata uwezo wa kuchambua chohote, the country can never be lead or moved by emotions like your sorry and lazy arrse suggest

i asked relevant question to a potential presidential candiate who i respect and value a lot, and even attended his meeting in MD

Huna adabu, akili wala utashi wa kutambua what i was talking about

if slaa protects crooks, no matter which sieve they escaped, it will be a disaster in 2015

Kengemaji wahed

nalaabuk umr
 
Meno ya TEMBO yanasafirishwa na kinana! Je wakuu wake nao wanahusika.

stick to the game

gaddemit, unatumia anus kufikiri?? TWO WRONGS DONT MAKE IT RIGHT

SWALI, JE HUYO MHASIBU NI MWAJIRIWA?? JIBU LILISHATOKA,

SASA WEWE KISA CHA KULETA FANGASI ZAKO ZA KIPUUZI KWANGU NI NINI??

STAY OFF MY D!C4
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?

Sina hakika sana kama Dr. Slaa ndiye amejibu hivi,ikizingatiwa kuna uzi uliletwa hapa kuwa Bi mkubwa Josephine huwa ana sign in kwenye acount ya Dr na kujibu yeye. Kimsingi mleta uzi ametuletea uzi wenye umbea na tashwishwi,ilitakiwa tupate majibu ya uhakika ili kumaliza umbea wake,but kwa majibu haya ya Dr. yameongeza utata na ikizingatiwa Dr. ndiye mtendaj mkuu wa chama chetu..
 
Mbona hueleweki wewe mzee,unaambiwa umeajili mwizi kwenye saccos yako,ww unataka jirani yako akufanyie speculation,what a hell?
Unakoelekea mzee ni kubaya,unazeeka vibaya.
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
 
wewe tunakufahamu sana kwa majungu,sasa kama kashindikana wewe inakuuma nini?
 
kwa wale ambao tunaujua uhasibu mhasibu anaweza kuwa mwizi na asiwe mwizi kulingana na mazingira aliyopo,
 
anafahamika kwa jina la mwaluisi ndio mhasibu mkuu chadema. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri ya mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kurobu akatakiwa arudi mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda chadema.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.?

chadema inawakosesha usingizi wachumia tumbo, kila kukicha na uongo. Sasa mmbwa kama wewe nawe unaandika! Au kwakuwa kuandika uongo ni rahisi
 
karogwa baba yako mlezi (maana hujui babako mzazi), mdogo wako, mamako, jirani yako, nyumba yako etc

Huna hata uwezo wa kuchambua chohote, the country can never be lead or moved by emotions like your sorry and lazy arrse suggest

i asked relevant question to a potential presidential candiate who i respect and value a lot, and even attended his meeting in MD

Huna adabu, akili wala utashi wa kutambua what i was talking about

if slaa protects crooks, no matter which sieve they escaped, it will be a disaster in 2015

Kengemaji wahed

nalaabuk umr

poor English, matusi ya kijinga. Ondoa emotions zako hapa, ukizidiwa nenda majukwaa kama MMU na Chitchat
 
Majibu yako hayajitoshelezi,kama katibu mkuu ulipaswa kuyafanyia kazi maelezo au hoja na si kupayuka ni mtu wa mitaani pekee ndie anaeweza kujibu hivi.

hivi haya majibu unaweza kuyalinganisha na yale ya JK kuwa hajui kwa nini TZ ni maskini? Na vp kuhusu CCM Katibu mkuu mwizi wa Nyara (Tembo) mwkahazina Rostam kila mtu anajua,JK mwenyewe tunamuona Riz1 anavyopaa kiuchumi....etc
 
BIG RESULT NOW ndio habari ya mujini wewe jamaa unayetaka kechezea watu akili hapa!
 
hivi haya majibu unaweza kuyalinganisha na yale ya JK kuwa hajui kwa nini TZ ni maskini? Na vp kuhusu CCM Katibu mkuu mwizi wa Nyara (Tembo) mwkahazina Rostam kila mtu anajua,JK mwenyewe tunamuona Riz1 anavyopaa kiuchumi....etc
Sasa wewe hutaki Riz1 awe na maisha mazuri? wapi katika katiba,azimio la Arusha,Azimio la Zanzibar wameandika moja ya sharti la mtoto wa kiongozi awe maskini?
 
Asante ndugu tunajua luga izo cdm ni kawaida na sisi ndizo zinazotupa nguvu ya kuwa na point kwenye nchi hii, tukana lingine jipya ilo la zamani nalijua. :tape:
chadema inawakosesha usingizi wachumia tumbo, kila kukicha na uongo. Sasa mmbwa kama wewe nawe unaandika! Au kwakuwa kuandika uongo ni rahisi
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom