Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Heshima yako Dr,

Mimi sikukosoi ila nakushauri tu kuwa siku nyingine ungemjibu mleta mada kuwa mhasibu mkuu wa chadema ni nani na aliajiriwa kwa vigezo vipi

Je nafasi ya kazi ilitangazwa?

Kama ilitangazwa, kwenye gazeti lipi?

Pia tungependa kujua kama unamfahamu huyu mtu anayeitwa Mwaluisi tafadhali.

Nadhani majibu hayo kama yangetolewa ungekuwa ndio mwisho wa hii thread ....

kwani lukosi zile nafasi za kazi za UHURU MEDIA hua wanatangaza? tayari ushaambiwa kuwa siyo mhasibu mkuu ila bado unauliza maswali yenye majibu.
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?
waziri ni kitu gani, nadhani utu wa mtu unarhamani zaidi...kama mawaziri wenyewe ndiyo hawa wa kuwafinyanga twiga kisha kuwa safirisha kwa ndege wana thamani gani kwetu... baadhi ya watanzania akili zenu mmezificha sehemu mbaya sana...kwangu mzalendo maskini ana anaheshima kuliko rais ambaye anaweza kuingia mikataba ya kifisadi
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

kweli ShyBush nayo ilileta vilaza. Hand To Mouth Thinking (HTMT)
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?

Hivi haya majibu ya kisanii ni ya kwako kweli au kuna mtu anatumia akaunti yako. Maana nilitegemea wewe ndo utatutoa gizani kwa kutueleza iwapo ni kweli CHADEMA ina mtu huyo ktk Idara yake ya Uhasibu. Lakini kwa majibu haya, nimechoka mwili na roho.
 
Hivi wewe unafikiri jamiiforums inafunguka kwa watu walioko Tanzania peke yake. Umemuuliza akakwambia wakati anapost alikuwa Tanzania.

ni bora kufahamu kama hufahamu kuliko kujifanya unafahamu wakati hufahamu.

Hizi ni akili za BAVICHA.

stop jumping over a moving wagon! This is between me and a black widow, FaizaFoxy, ukome na uache umbea kama Kikwete or else I'll find a suitable place and hit you . . . . . Always there is a line that you should never cross . . . .
 
Last edited by a moderator:
Aah kwani si ndio huyu mwaluisi alikuwa anamgegeda hawa ngulume mpaka vi futa jasho vyote vya yule mama huyu jamaa alivimaliza akahakikisha familia ya ngulume imebaki patupu tunamjua sana amezunguka humo tamisemi sana kila alikokwenda aliwapiga huyo jamaa ni noma na dr lazima utete hili kwani hata wewe sio msafi kipesa.

ushauri ni wawe makini.
 
Hivi haya majibu ya kisanii ni ya kwako kweli au kuna mtu anatumia akaunti yako. Maana nilitegemea wewe ndo utatutoa gizani kwa kutueleza iwapo ni kweli CHADEMA ina mtu huyo ktk Idara yake ya Uhasibu. Lakini kwa majibu haya, nimechoka mwili na roho.

go for massage and spa! Kama roho imechoka, go for spiritual healing
 
Anafahamika kwa jina la mwaluisi ndio mhasibu mkuu cdm mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake ichoicho, tatito huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kulob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule, na mwisho alikuwa h/shauri ya mbozi akavuta ela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kulobu akatakiwa arudi mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache ivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda chadema najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.? Mods msiondoe huu uzi tujadili kama huyu mtu anaweza kuwa mwaminifu ndani ya cdm

Umeshasikia ameiba CHADEMA? Acha umbea na wivu wa kike.
 
Haya majibu kama vile yametolewa na Josephine Mashumbusi kwa sababu hii ID kwa sasa haiaminiki hapa JF.

Huwezi kuamini kwa Katibu Mkuu wa chama cha siasa ambaye ni mtendaji mkuu ashindwe kutoa jibu mbadala na kusema mhasibu mkuu wa chama chake ni nani na procedure gani zilitumika kumwajiri kama mhasibu mkuu wa chama. Finito.

Yaan mkuu kama kweli ni yeye basi kuna taabu kubwa sana!!!!!!!!!

Kuna siku nilipata jibu kutoka ID hii nikajiuliza swali kama hili,ninachokisoma kinatoka kwa mwenye hili jina kweli?????!!!!!
 
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
Wewe ndio kanusha kwa ushahidi. Chadema ni genge la wapiga dili
 
Anafahamika kwa jina la mwaluisi ndio mhasibu mkuu cdm mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu serikalini kwa cheo chake ichoicho, tatito huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya wizi na alikuwa bingwa wa kulob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule, na mwisho alikuwa h/shauri ya mbozi akavuta ela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa kulobu akatakiwa arudi mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema waache ivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale mbozi ndipo alipoona mambo magumu na kwenda chadema najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo tukianzia ngazi yajuu kabisa.? Mods msiondoe huu uzi tujadili kama huyu mtu anaweza kuwa mwaminifu ndani ya cdm
acha upoyoyo wako.weka ushahidi na si maneno kama akatae roho.mod ondoa hii kitu aliyeanzisha ana minyoo ya kitimoto imeingia ktk ubongo wake
 
acha upoyoyo wako.weka ushahidi na si maneno kama akatae roho.mod ondoa hii kitu aliyeanzisha ana minyoo ya kitimoto imeingia ktk ubongo wake
Ww ndio una minyoo ya kitimoto. Pinga kwa ushahidi sio unavuja povu kila kona ya mwili wako
 
Mods msiondoe huu uzi tujadili kama huyu mtu anaweza kuwa mwaminifu ndani ya cdm

Kitendo cha kuhisi mods watautoa uzi wako ni dhahiri hata wewe mwenyewe unaona mapungufu yaliyopo kwenye bandiko lako. Hao madiwani uliongea nao wakakupa sababu za kumkataa? Huyo mhasibu ulibahatika kupata japo dakika tano kumsikiliza? Una nyaraka zozote kuthibitisha uadilifu mbovu wa huyo mhasibu uziweke hapa? Uliwahi kuongea na kiongozi yeyote wa Chadema kuhusina na hii ishu ukapata opinion ya Chama?

Tutajuaje huenda wewe ni demu wake kakupiga chini ndo unakuja mtandaoni kubweka bweka?
 
Ww ndio una minyoo ya kitimoto. Pinga kwa ushahidi sio unavuja povu kila kona ya mwili wako

Mleta mada ni hawara wa zamani wa huyo mhasibu. Ameona maisha magumu kaja kumchafua mhasibu. Mbona tunaacha wake zetu na hawatuchafui mitandaoni?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom