Ben Saanane
===>leo CDM hatuwaungi mkono mpaka mje na ukweli hapa,mipasho haifai,kama mlikosea rekebisheni,hakuna binadamu mkamilifu,lakini iwe fundisho,siku nyingine mfanye kazi kitaalamu hata kidogo
===>Mkijua kulaumu na kukosoa lazima na nyie mjue na mjifunze kukosolewa,nyie sio malaika kwamba kila mnachokifanya kiko sahihi
===>Ili mlinde credibility ya Dk Slaa kuweni makini na majibu anayojibu,na pia sio lazima kila kitu ajibu yeye,mambo mengune ni madogo sana
===>Kama kuna mtu anatumia acc ya Dk Slaa kama admin wake aangaliwe vizuri,kuna siku mtakuja kulaumina hapa.