Mzito Kabwela
Platinum Member
- Nov 28, 2009
- 18,908
- 7,752
Ww ndio una minyoo ya kitimoto. Pinga kwa ushahidi sio unavuja povu kila kona ya mwili wako
Kitimoto ni Chakula kitakatifu. Hata Allah ameruhusu tule mambo yakiwa magumu
Ww ndio una minyoo ya kitimoto. Pinga kwa ushahidi sio unavuja povu kila kona ya mwili wako
Hii NGO ya chadema inakaribia kufa
Nyie si mnapora wake za watu kisha mnaenda nao nje ya nchi kutumbua ruzuku?Mleta mada ni hawara wa zamani wa huyo mhasibu. Ameona maisha magumu kaja kumchafua mhasibu. Mbona tunaacha wake zetu na hawatuchafui mitandaoni?
Maandishi yepi tena, kwani hayo ni nini?
Hivi haya majibu ya kisanii ni ya kwako kweli au kuna mtu anatumia akaunti yako. Maana nilitegemea wewe ndo utatutoa gizani kwa kutueleza iwapo ni kweli CHADEMA ina mtu huyo ktk Idara yake ya Uhasibu. Lakini kwa majibu haya, nimechoka mwili na roho.
Wewe ndio kanusha kwa ushahidi. Chadema ni genge la wapiga dili
Dr kwa majibu haya unatupa kazi ya kuwajibu hawa wahuni kwa taabu. Hebu njoo ufunguke zaidiJanjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
Kamanda huku akukufai tuachie sisi hawa ni saizi yetu kabisaa usipoteze muda na mjinga piga kazi mkuu....tutawaelimisha tuu
Dr kwa majibu haya unatupa kazi ya kuwajibu hawa wahuni kwa taabu. Hebu njoo ufunguke zaidi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Hivi ndani ya ccm kuna mtu wa kumnyooshea mtu kidole kweli? Wanafiki,wazandiki,malaya,machangudoa akina Faizafox ,wezi,wapiga dili,wauza unga eti na nyie mnajiona wasafi?
Hamna msafi ndani ya ccm wa kumnyooshea kidole mwenzake pale woote wameoza tusidanganyane
Janjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
Kitendo cha kuhisi mods watautoa uzi wako ni dhahiri hata wewe mwenyewe unaona mapungufu yaliyopo kwenye bandiko lako. Hao madiwani uliongea nao wakakupa sababu za kumkataa? Huyo mhasibu ulibahatika kupata japo dakika tano kumsikiliza? Una nyaraka zozote kuthibitisha uadilifu mbovu wa huyo mhasibu uziweke hapa? Uliwahi kuongea na kiongozi yeyote wa Chadema kuhusina na hii ishu ukapata opinion ya Chama?
Tutajuaje huenda wewe ni demu wake kakupiga chini ndo unakuja mtandaoni kubweka bweka?
Dr kwa majibu haya unatupa kazi ya kuwajibu hawa wahuni kwa taabu. Hebu njoo ufunguke zaidi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Dr kwa majibu haya unatupa kazi ya kuwajibu hawa wahuni kwa taabu. Hebu njoo ufunguke zaidi
Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
Dr.W.SlaaJanjaweed,
Mhasibu Mkuu ni lazima atakuwa ameajiriwa. Ili wana JF wakuamini weka ushahidi wa kuajiriwa kwake kwa nafasi ya Mhasibu Mkuu. Vinginevyo ni propaganda. Aidha Kama ni kweli amevurunda kwenye Halmashauri nyingi na baado yuko mitaani, waziri wa Tamisemi ni kwanini asijiuzulu kwa uzembe?
Dr.W.Slaa,Janjaweed,

Alabama tena?uko behind.Dr.W.Slaa,
Kwa pole na pirika za Alabama umeacha gumzo kubwa huko.
Ingekuwa vizuri kama ungemjibu mleta mada kuhusu muhasibu Mkuu wa Chadema nadhani mjadala ungemalizika.
Sasa wewe umekuja na majibu nusu nusu.