Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Nashukuru sana Juliana Shonza kwa huduma ya jana pale Guest Sinza. Naona umeamka umechoka akili bado haijakaa vyema, pole sana. Nasubiri siku thelathini nikapime tu, maana watu tisa per one night ni majanga. Ila huduma yako nzuri, big up.

Lazima upigwe Ban labda mod awe mjomba wako
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

Rubbish
 
Kweli kaka huna muda, kulea majukumu mazito sana Jr anasumbua kweli.Kazi ni kazi usichague kazi na kila kazi inaugumu wake.

Umeanza tena?Sasa hivi utaanza kulialia na MODS.Mimi Sitakuita Sizimizi
 
Janja ukisoma tena maandishi ya Slaa W (PhD) utagundua anasema huyu mtu hajaajiriwa ndiyo maana kasema ushahidi wa ajira ni barua .Hebu soma tena mkuu .

kwani angesema tu kwamba jamaa si muajiriwa ingekuaje?
 
kwenye mada hii ambayo ni nyepesi sana kama watu hawatataka kuvaana maungoni, maswali ya msingi yanayotakiwa kutolewa majibu ni haya yafuatayo:

  1. Ni kweli kwamba Mwaluisi anafanya kazi ya uhasibu au nyingine yoyote ile ndani ya CHADEMA?
  2. jee Mwaluisi alishawahi kuajiriwa kwenye Halmashauri yoyote ile na je aliacha kazi yeye mwenyewe au aliachishwa kazi na kama aliacha mwenyewe hakuna tuhuma zozote juu yake kabla ya kuacha kazi hiyo?
  3. Ajira au kujitolea kwa Mwaluisi (Kama kweli yupo CHADEMA) kunaratibiwa na nani?
 
mnafiki hana fadhila. ila wewe utoto bado unakusumbua mcheki Dr Slaa jinsi alivyo kisha ujipime je nchi hii kwa karne hii tunatakiwa kuongozwa na vibabu? pozi lake lenyewe unajua huyu ni mnafiki , mdomo alivyouweka pembeni, jicho moja analiminya kwa ajili ya unafiki. nilifaham ktk vijana wa bavicha labda ungelikuwa wa kwanza kusema sasa wazee waachie vijana pia mnaweza ila kwa akili zako utataka wafie madarakani. unaitaji msaada wa ziada:help::A S 39:
 
Kama aliwahi kushitakiwa kwa kesi ya jinai wapi na lini? Adhabu aliyopewa ni ipi? Maana kwa CCM kila anayepingana nao kwa hoja huchukuliwa kuwa hafai.

Jisomee:

kwenye mada hii ambayo ni nyepesi sana kama watu hawatataka kuvaana maungoni, maswali ya msingi yanayotakiwa kutolewa majibu ni haya yafuatayo:

  1. Ni kweli kwamba Mwaluisi anafanya kazi ya uhasibu au nyingine yoyote ile ndani ya CHADEMA?
  2. jee Mwaluisi alishawahi kuajiriwa kwenye Halmashauri yoyote ile na je aliacha kazi yeye mwenyewe au aliachishwa kazi na kama aliacha mwenyewe hakuna tuhuma zozote juu yake kabla ya kuacha kazi hiyo?
  3. Ajira au kujitolea kwa Mwaluisi (Kama kweli yupo CHADEMA) kunaratibiwa na nani?
 
[h=5]Hapa ndipo tulipofikia watanzania, kwamba kila mtu amekuwa msemaji na mchangiaji hata kama jambo husika halijui wala kuwa na upeo nalo. Nashindwa kuelewa kama hii ndio tasfri sahihi ya siasa au tu ni uhuru wa kuongea! ikiwa kweli mtu anataka kuongea si kwa ubinafsi ili aonekane anajua kuongea bali ni kwa mchango wa mawazo ili kuleta ufumbuzi wa kinachojadiliwa, basi yasingekuwepo matusi na kejeli tena zingine zikionesha zinalenga wanaofahamiana fika kunakopelekea visasi. lakini je kupitia jukwaa hili?? je si sahihi kwamba jukwaa hili litumike kwa malengo ya kuanzishwa kwake na visa visasi na matusi (kwakuwa mnajuana) basi mkavifanyie mnakokutania?
Wakati mwingine huwa natamani kuwaomba moderators hili jukwaa kuwa makini zaidi na ku sensor maandiko yote yasiyo staha ili kwamba atakayeandika yasiyosomeka jukwaani atafika mahala atajifunza kuandika vizuri au ataacha kabisa kuandika.

Mada hii ilikuwa ni angalizo kwa Chadema kuhusu mhasibu anayedaiwa si mwadilifu japokuwa alikokosea uadilifu walimpa adhabu ya kuajiliwa kwingine na kisha kuangukia Chadema. Hapa kilicho busara kama anaowatumikia walikuwa hawajui aliyoyatenda huko nyuma watamchunguza na kujiridhisha kama anafaa au hafai wachukue hatua sahihi. Au pengine walishamchunguza na kujiridhisha kwamba nafasi ya kukosa uadilifu alikuwa nayo huko alikotoka kwa sababu hata aliokuwa anawatumikia walikuwa sio waadilifu na ndio maana wakashindwa kumchukulia hatua na kwamba tabia kama hiyo hatoweza kuwa nayo akiwa mtumishi wa Chadema. Hoja mpaka hapo imeelezeka vizuri na wala hakuna mwanya wa kutukanana na kuleteana dhalau. Tanzania haitajengwa kwa kupoteza muda wa kushinda kwenye mitandao lwa ajili ya hoja zisizo mashiko na matusi, tukumbuke kwamba vita ya panzi furaha ya kunguru. Madini yanaporwa wanyama wanatoroshwa mazingira yanachafuliwa hakuna kijana wa kitanzania anayesema anao mkakati wa kukomesha hayo, tunaimba siasa porojo tu. Shauri yenu vijana, wazee nape keshatwambia tunangojea kufa, je nyie ambao bado mnaishi mna mikakati gani ya ku sustain biodiversity zenu?

Argument and logic will never convince any color-blind person of the beauties of the rainbow.[/h]
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?
Nitajie waziri mwenye akili
 
H/manispaa moro, H/manispaa kibaha, H/manispaa mbozi kote anakashfa ya wizi wa pesa baada ya kuona godfather wake ameshindwa na kesi zake na mbozi madiwani waliposema watajiuzuru akirudishwa ikabuma akaenda ifm kufundisha kwa mda akaona sio mahali pa kupiga huyooo chadema. Kama yupo humu jf aje akanushe mbona bosi wake kajaribu kuongea pumba zake kumtetea wenye akili wamejua ni tatizo nae aje hapa na sizungumzii kushitakiwa kwa huyu mtu ila amekwenda kufanya nn huko cdm?
Tunashukuru kwa mleta mada ha jf, naomba utujulishe vituo alivyofanya kazi na kashfa alizokuwa nazo kila kituo
 
[FONT=times new
roman]Anafahamika kwa jina la Mwaluisi ndio mhasibu mkuu
CHADEMA. Mwaluisi amekuwa mhasibu kwenye halmashauri nyingi tu
serikalini kwa cheo chake hicho hicho.

Tatizo huyu jamaa kila halmashauri aliyotoka alitolewa kwa skendo ya
wizi na alikuwa bingwa wa kurob huko ngazi za juu ili arudishwe kazini
ndio sababu aliweza kuhamishwa huku na kule na mwisho alikuwa h/shauri
ya Mbozi akavuta hela ikawa issue mpaka akatimuliwa kwa ubingwa wake wa
kurobu akatakiwa arudi Mbozi hapo ndipo madiwani walicharuka na kusema
waache hivyo vyeo kama huyu jamaa atarudi pale Mbozi ndipo alipoona
mambo magumu na kwenda CHADEMA.

Najiuliza huko ndio kwa walioshindikana? Au ndio kwa wachumia tumbo
tukianzia ngazi yajuu kabisa.?
[/FONT]

Serikali dhaifu ilishindwaje kumkamata kama ni mwizi kweli !?,yaani hawa ccm!
 
Dr. Slaa, jibu lako ni zuri, lakini pia sio zuri

ili mtu aajiriwe ni lazma awe vetted, hivyo naamini mlifanya vetting, pamoja na hayo, tena hasa kwa wahasibu, inapotokea mengine yanaibuka basi mwajiri hufanya chunguzi haraka, mimi kama mwajiri hufanya hivyo

kuhusu mimi kuweka ushahidi, nadhani umepotoka, aliyeleta mada sio mimi, ila nimechangia tu.... Tena wewe uko best placed kusema endapo ni mwajiriwa wako, katika hiyo nafasi au nyingine yoyote chamani

Kuhusu kujiuzulu kwa waziri wa tamisemi, je unazungumzia waziri gani? Inakuaje endapo huyu bwana alikua tamisemi miaka ya nyuma na si chini ya waziri wa sasa? Vipi mfumo wetu...unaoufahamu vizuri,would you rush to judge waziri au katibu mkuu wa wizara.?

Swali la mwisho.... Unamtetea huyo bwana au vipi?


i smell something bad here
Umerogwa?
 
Haya majibu mazuri ila hayajitoshelezi kujibu haja ya swali. Au na Leo ulimtuma Mama Slaa?
Join Date : 10th January 2013
Posts : 201
Rep Power : 380
Likes Received40
Likes Given11

[h=2]
icon1.png
jibu unalo huniumizi kichwa[/h]
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom