Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Siku mkiacha kumuita Rais kivuli, Rais mtarajiwa na majina kama hayo yanayomtnabaisha na uongozi wa nchi I assure you haitakuwa hoja hapa jamvini juu yake lolote liwalo!!!!!!

Mkiweza kuafanya hali iwe kama kawaida ya inavyotakiwa kuwa without exagerations on anybody the air in here will be cool and friendly to breath

KINYUME; HAIWEZEKANI MTU ANAYEANDALIWA KUWA KIONGOZI ASIWE GUMZO, KWA HILI POWER BUTTONS MNAZO NYIE, MKIZIMA WANANCHI TUTAENDELEA NA SHUGHULI KAMA HAYUPO VILE, MKIWASHA BASI KWA SABABU NCHI NI YETU. ATAJADILIWA MPAKA HANDKERCHIEFS NA HILI NI KWA YEYOTE HATA WEWE UKIWA KATIKA CANDIDACY STATUS JIANDAE

Jibu hoja wewe! Kama nchi yetu tujadili vitu vya maslahi ya Taifa! Alafu Usikose Leo kuangalia ITV saa moja kamili usiku!
Hii ndio habari...,,,, lakini haya ya Lumumba ni Maji Taka a.k.a Siasa!
 
Hoja gani.hapa ya kujibu? ???!!!! Hiyo ya tujadili nini????!!!
Umeshika mkia wa mbwa unatafuta nyama zake za kukalia???!!!!

Thread zipo nyingi na tunajadilia at per sasa swali liko wapi hapo,subscribe ina multi tasking way au ubongo wako hauwezi kumudu mada zaid ya moja!!!!????

Hili sio la lumumba ni la watu makini wote wanaofuatilia mambo kwa kina na kwa kila nukta!!!!!!

Ok Tv ntaangalia,lakini vipi huyu anayetajwa ni kweli mnae huko chamani kwa post hiyo????!!!
 
Message received. makamanda fanyeni kazi yenu kwani mamluki ni pamoja na kwenye fedha!
 
Kwa Mfano, waccm au?

Akili yako unaangalia ccm na cdm tu,amakweli bora masikini wa mali kuliko akili!!!!

Maisha ni zaidi ya vyama hivyo,panua wigo wa fikra upate maarifa!!!!!!
 
Hoja gani.hapa ya kujibu? ???!!!! Hiyo ya tujadili nini????!!!
Umeshika mkia wa mbwa unatafuta nyama zake za kukalia???!!!!

Thread zipo nyingi na tunajadilia at per sasa swali liko wapi hapo,subscribe ina multi tasking way au ubongo wako hauwezi kumudu mada zaid ya moja!!!!????

Hili sio la lumumba ni la watu makini wote wanaofuatilia mambo kwa kina na kwa kila nukta!!!!!!

Ok Tv ntaangalia,lakini vipi huyu anayetajwa ni kweli mnae huko chamani kwa post hiyo????!!!

Ukitaka kujua hulka au tabia ya mtu ya ndani kabisa basi mchanganye kidogo! Unamuona Kama huyu anaanzatokwa na maneno hovyo!
Hakuna cha Maana Hapa!
 
Hoja gani.hapa ya kujibu? ???!!!! Hiyo ya tujadili nini????!!!
Umeshika mkia wa mbwa unatafuta nyama zake za kukalia???!!!!

Thread zipo nyingi na tunajadilia at per sasa swali liko wapi hapo,subscribe ina multi tasking way au ubongo wako hauwezi kumudu mada zaid ya moja!!!!????

Hili sio la lumumba ni la watu makini wote wanaofuatilia mambo kwa kina na kwa kila nukta!!!!!!

Ok Tv ntaangalia,lakini vipi huyu anayetajwa ni kweli mnae huko chamani kwa post hiyo????!!!

Mku this people bana are very very stupid wakati mwingine
Ukiwabana wanaanza oooh mbona hiki mbona fulani kafanya hivi

Sredi zipo kibao lakini anataka kulazimisha tujadili anayotaka yeye na sredi zake zipo
 
Akili yako unaangalia ccm na cdm tu,amakweli bora masikini wa mali kuliko akili!!!!

Maisha ni zaidi ya vyama hivyo,panua wigo wa fikra upate maarifa!!!!!!

Heri yako wewe tajiri wa Akili kuliko hizi siasa za Takataka Maji!
 
Mku this people bana are very very stupid wakati mwingine
Ukiwabana wanaanza oooh mbona hiki mbona fulani kafanya hivi

Sredi zipo kibao lakini anataka kulazimisha tujadili anayotaka yeye na sredi zake zipo

Sio lazima kujadili mada husika ata Kama Thread Zake zipo!
Nachotaka mjadili na mlete vitu vya msingi vijadiliwe!
Vinginevo mtakua vuvuzela!
 
Unataka akuwekee ushahidi gani kwa Yale anayoandika au kusema? Kama kuwasema mafisadi anawasema Kila Siku na kwa majina anawataja! Ni wao sass kukanusha kwa umma au kwenda mahakamani kumshitaki na kuitafuta haki!
Na ukituhumiwa kua wewe Una makosa Fulani na ukikaa kimya mana Yake hizo tuhuma ni kweli!

Na anaposema "KADIMA" hakina sera ya kusaidiwa kutoka nje, wakati tunajuwa kuwa CDU wanakisaidia, hapo ana ushahidi upi kama si uongo tu?
 
Sio lazima kujadili mada husika ata Kama Thread Zake zipo!
Nachotaka mjadili na mlete vitu vya msingi vijadiliwe!
Vinginevo mtakua vuvuzela!

Wewe mpuuzi usipangie watu mambo humu JF, umempa nani kifurushi cha internet ili uwe na mamlaka ya kupangia watu mambo?, tumia akili zako za kuvukia barabara vizuri.
 
Na anaposema "KADIMA" hakina sera ya kusaidiwa kutoka nje, wakati tunajuwa kuwa CDU wanakisaidia, hapo ana ushahidi upi kama si uongo tu?

Kama mnajua ni nyinyi! Kwahiyo mlitaka kutulazimisha tukubali?
 
Wewe mpuuzi usipangie watu mambo humu JF, umempa nani kifurushi cha internet ili uwe na mamlaka ya kupangia watu mambo?, tumia akili zako za kuvukia barabara vizuri.

Teh Teh Teh! HAMY-D! Asante bana Ngoja ntulie!
Kamsaidie Mzee Mangula kuhama Kawe anajuta kua chini ya Mdee! Ccm bhana vichekesho kweli!
 
John Myika v/s Nape Nauye.
Hapatoshi Leo ndani ya ITV
 
wana Jf nimekutana na Mh.Mary mwanjelwa nikamuuliza kihusu Id ya Mwanjelwa hapa jf akaniambia sio ya kwakwe na ameomba wanajf msimuhusishe na Id ya mwanjelwa.Nawatakia mapambano mema.
 
Heshima yako Dr,

Mimi sikukosoi ila nakushauri tu kuwa siku nyingine ungemjibu mleta mada kuwa mhasibu mkuu wa chadema ni nani na aliajiriwa kwa vigezo vipi

Je nafasi ya kazi ilitangazwa?

Kama ilitangazwa, kwenye gazeti lipi?

Pia tungependa kujua kama unamfahamu huyu mtu anayeitwa Mwaluisi tafadhali.

Nadhani majibu hayo kama yangetolewa ungekuwa ndio mwisho wa hii thread ....

WE kazi yako ni kuiba mali za watu
 
wana Jf nimekutana na Mh.Mary mwanjelwa nikamuuliza kihusu Id ya Mwanjelwa hapa jf akaniambia sio ya kwakwe na ameomba wanajf msimuhusishe na Id ya mwanjelwa.Nawatakia mapambano mema.

Ya kwake ni ipi? na kwanini ulimuuliza? mmekutana wapi?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom