Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Kaka turudi kwenye mada!

Huyo Mhasibu yupo Chadema??

N:B Usipende kurudia maneno, tafuta mengine mkuu!

Nisiporudia hayo maneno kuna watu watapotoka na kujenga imani na wewe bila kujua unasukumwa na makundi hadi kujidhalilisha kwenda Barsh Ya Nyama Monduli badala ya kujikita kwenye ajenda ya kupigania maslahi ya vijana kupitia uongozi wako
 
Unataka akuwekee ushahidi gani kwa Yale anayoandika au kusema? Kama kuwasema mafisadi anawasema Kila Siku na kwa majina anawataja! Ni wao sass kukanusha kwa umma au kwenda mahakamani kumshitaki na kuitafuta haki!
Na ukituhumiwa kua wewe Una makosa Fulani na ukikaa kimya mana Yake hizo tuhuma ni kweli!

Kwanini Dr na CDM wasifanye haya unayo yahubiri hapa?
Mtuhumiwa jina katajwa
Chama kimetajwa
 
quote_icon.png
By palalisote
hebu weka ushahidi wa maandishi siyo kutuletea umbea umbea tu

Maandishi yepi tena, kwani hayo ni nini?

Duuh ama kweli Faizabweha we ni kilaza kwa kwenda mbele.
 
Janja ukisoma tena maandishi ya Slaa W (PhD) utagundua anasema huyu mtu hajaajiriwa ndiyo maana kasema ushahidi wa ajira ni barua .Hebu soma tena mkuu .
ilo ni danganya toto, Dr nafikili sasa anaanza kulikava vizuri adi anatetea ma complex wake? funguka unapotea
 
Ha ha haaaaaaa unaanza kuleta mambo ya kipuuuzi kwenye hoja ya msingi! !!!!!!

Kuunganisha matukio ni
1. Kupokea taarifa na kuichukulia kwa uzito
2. Kuifanyia kazi kwa kina ili kuhakikisha ukweli au uongo wa taarifa hiyo
3. Kutoa maelekezo ya ndani kama kuna mapungufu au ku re affirm the decision kama uko sahihi na taarifa haina madhara,kiutendaji na kitaswira
4. Kutoa taarifa kwa umma katika njia inayoeleweka na kukubalika na.wengi bila kuvunja sheria wala kuchafua mtu au chama/taasisi

Sasa unamaanisha asiyefanya hayo hapo juu ni mgonjwa wa akili au ulimaanishaje mkuu in this paticular thread!!!!!!!!

Ubongo wake ukitolewa kichwani hautajaa hata kwenye kizibo cha soda. Yani mende atakuwa amekuzidi kiwango cha ubongo.
 
Ubongo wake ukitolewa kichwani hautajaa hata kwenye kizibo cha soda. Yani mende atakuwa amekuzidi kiwango cha ubongo.

Ubongo wa nani?????!!!!!
Matusi kwa watu wazima umeanza lini wewe?????!!!!!!

This is too much,m out
 
La kipuuzi ni lipi sasa

1. Kumshauri mkuu wako wa kazi???!!
2. Kujitafakari upeo wako unaofifia kwa maslahi ya kisiasa???!!!!
3. Kubadilishana mawazo hapa???!!
4. Kupokea taarifa inayosemekana kuchafua ofisi yenu na kuifanyia kazi?????!!!

Nini hasa ni upuuzi kati ya haya?????!!!!!!

Wamiliki wa Magari ya kubeba mizigo wamegoma baada ya kuambiwa wayapaki jikoni!

Na Tayari athari mbalimbali zimekwishaanza kujitokeza kutokana na mgomo huo!

Sasa mnataka tujadili nini? Majibu ya Dr Slaa? Au Mhasibu wa Cdm? Au mgomo wa Magari?
Nchi majirani zikijitoa mnaanza kupiga kelele wanatutenga! Wewe Kama bandarini sasaivi kumeathirika kutokana na Huu mgomo mnategemea nini?
Mlishaambiwa mizani zetu ni Kupe mnataka mpaka muambiwaje!?
Mi naona ni upuuzi kuacha kujadili vitu vya msingi na kuanza kujadili majibu au maisha ya Dr Slaa au Mhasibu wa Cdm! Tujadili vitu vya msingi vyenye tija kwa taifa letu wote!
 
Nisiporudia hayo maneno kuna watu watapotoka na kujenga imani na wewe bila kujua unasukumwa na makundi hadi kujidhalilisha kwenda Barsh Ya Nyama Monduli badala ya kujikita kwenye ajenda ya kupigania maslahi ya vijana kupitia uongozi wako

Jibu swali basi..

Huyo Mhasibu yupo??
 
Kwanini Dr na CDM wasifanye haya unayo yahubiri hapa?
Mtuhumiwa jina katajwa
Chama kimetajwa

Umeshaambiwa uthibitishe hiyo ajira na Kama hauwezi ni propaganda tu! Sasa unataka ujibiwe nini?
 
Mh Nape ajipange kwelikweli! Sijui na yeye Leo atataka aitwe kaka?
 
Tatizo la washangiliaji wa CDM, hawapendi kusikia ukweli kuhusu viongozi wao. Kama CDM hawatabadilika, Bora CCM ibaki madarakani

Huna jipya unatimiza wajibu mkono uende kinywani!
 
Wamiliki wa Magari ya kubeba mizigo wamegoma baada ya kuambiwa wayapaki jikoni!

Na Tayari athari mbalimbali zimekwishaanza kujitokeza kutokana na mgomo huo!

Sasa mnataka tujadili nini? Majibu ya Dr Slaa? Au Mhasibu wa Cdm? Au mgomo wa Magari?
Nchi majirani zikijitoa mnaanza kupiga kelele wanatutenga! Wewe Kama bandarini sasaivi kumeathirika kutokana na Huu mgomo mnategemea nini?
Mlishaambiwa mizani zetu ni Kupe mnataka mpaka muambiwaje!?
Mi naona ni upuuzi kuacha kujadili vitu vya msingi na kuanza kujadili majibu au maisha ya Dr Slaa au Mhasibu wa Cdm! Tujadili vitu vya msingi vyenye tija kwa taifa letu wote!

Siku mkiacha kumuita Rais kivuli, Rais mtarajiwa na majina kama hayo yanayomtnabaisha na uongozi wa nchi I assure you haitakuwa hoja hapa jamvini juu yake lolote liwalo!!!!!!

Mkiweza kuafanya hali iwe kama kawaida ya inavyotakiwa kuwa without exagerations on anybody the air in here will be cool and friendly to breath

KINYUME; HAIWEZEKANI MTU ANAYEANDALIWA KUWA KIONGOZI ASIWE GUMZO, KWA HILI POWER BUTTONS MNAZO NYIE, MKIZIMA WANANCHI TUTAENDELEA NA SHUGHULI KAMA HAYUPO VILE, MKIWASHA BASI KWA SABABU NCHI NI YETU. ATAJADILIWA MPAKA HANDKERCHIEFS NA HILI NI KWA YEYOTE HATA WEWE UKIWA KATIKA CANDIDACY STATUS JIANDAE
 
Mtu hawezi kuiba kweny halmashauri zaidi ya mbili na akaachwa tu aendelee kwa kuhamishwiwa halimashauri nyingine. Kama hayo ni kweli basi ndiyo mapungufu makubwa ya serikali inayoongozwa na CCM, watu waibe badala ya kuwapeleka mahakamani wanahamishwa. Huyo ni mmoja tu je watu aina hiyo wako wangapi watu wakisema serikali dhaifu bado mtakataa na ushahidi mmnao wenyewe. Mwizi anapelekwa mahakamani siyo kuhamishwa. Kama pamoja na shutuma zote hizo bado hakupelekwa manakamani basi hayo ni majungu yako.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom