Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Huyu ndio muhasibu mkuu wa CHADEMA

Status
Not open for further replies.
Hivi wewe shule yako ni level gani? Jamani naomba mfahamu kuwa principles za recruitment and selection..si lazima kazi zitangazwe. Unaweza ukafanya internal recruitment. Mfano kuna baadhi ya nafasi kwenye organization nyingine ni very sensitive. Inaruhusiwa wafanyakazi(current employers) kuleta majina ya watu wanaowafahamu na waliotimiza vigezo kujaza nafasi hizo. It is acceptable. Lukosi akili yako ina ukosi, nenda kasoma kwanza msije hapa na mawazo kamasi tu.

only83,

Hicho ambacho umeweka hapo ni mfumo wa kuajiri ambao kimsingi unapigwa vita na wengi kwa kuwa hautoi fursa sawa kwa wote katika kushindania nafasi iliyo wazi kwenye taasisi, kampuni au mashirika, kitaalamu tunaita Head hunting.

Sasa kama wewe una akili nzuri na sio akili za msukule, ni vyema ukapinga mfumo huo wa kipuuzi na kuungana na wengi katika kutetea mfumo wa ajira wenye kutoa fursa kwa wote kuanzia hatua ya kutangaza ajira, kupokea CV, kufanya usahili n.k

cc: Chris Lukosi
 
Last edited by a moderator:
My point is, kama babu Slaa anajibu "viroja", then huyo Dr Slaa anatutia hofu Watanzania, kwa kuwa kwa kiongozi kama yeye kujibu "viroja" wewe huoni huo ni upungufu mkubwa wa weledi wa kiongozi?

Nadhani pro CHADEMA mnapaswa kumshangaa babu Slaa kwa hili, kwanini uwa anajibu "viroja"?, ana jitambua kweli?
Unatumia kigezo gani kumuita Dr Slaababu na kuuacha JK kumuita babu? pascaliaunahangaika sasa, unapimaje kujua ni viroja? ile ajali ilikuwa ni laana, na sijui kwa nini ilikuacha hai:A S 39:
 
the answer is philosophical mkuu! Uhasibu si kazi ya mtu mmoja, ni team

Mkuu tuwe objective, nilichotaka kusikia kutoka kwa Dr ni kujibu pumba za mtoa mada, ambaye naye alitakiwa atuwekee facts kwamba mhasibu wa CHADEMA alikuwa mbadhirifu. Nilidhani Dr. angefafanua kama kawaida yake kuhusu mhasibu wetu, kwamba kwanza kabla hajaajiriwa alifanyiwa vetting, lakini pia kumfanya awe clean tungeona akimjibu mtoa mada kwamba kama kweli jamaa ni mwizi kwanini hakufunguliwa kesi mahakamani? Kitendo cha kusema kwanini Waziri wa TAMISEMI hakujiuzulu nadhani ilikuwa mapema sana.
 
only83,

Hicho ambacho umeweka hapo ni mfumo wa kuajiri ambao kimsingi unapigwa vita na wengi kwa kuwa hautoi fursa sawa kwa wote katika kushindania nafasi iliyo wazi kwenye taasisi, kampuni au mashirika, kitaalamu tunaita Head hunting.

Sasa kama wewe una akili nzuri na sio akili za msukule, ni vyema ukapinga mfumo huo wa kipuuzi na kuungana na wengi katika kutetea mfumo wa ajira wenye kutoa fursa kwa wote kuanzia hatua ya kutangaza ajira, kupokea CV, kufanya usahili n.k

cc: Chris Lukosi
Tuwekeeni na CV za mhasibu wa maCCM ili tuwaamini na utaratibu mzima wa kumpata ulitumikaje? siyo kuganga njaa tu hapa JF
 
Dr Slaa mara nyingi tu Hua anatumia busara zake kuweka mambo sawa hasa pale anapoona upotoshwaji unajitikeza na Mara nyingi tu Hua anasema kua hatoacha kujitokeza kuweka mambo sawa kwenye Upotoshaji!

Muacheni atumie nafasi yake na sisi makamanda tuko pamoja nae!

Well & Good!Na sisi na hasa mimi nataka aendelee kujibu kwa sababu anatimiza wajibu wake ipasavyo.isipokuwa tu awe makini sana na majibu yake humu jamvini.

Nasema hivyo kwa sababu humu kumejaa wasomi wanaomzidi,waelewa wanaomzidi,wajanja wanaomzidi,wenye kung'amua mambo kumzidi,asijibu kama anajibu watoto watogo.

Pili,ajibu kama mtu ambae ana wafuasi nyuma yake,ni mbaya sana kama wapenzi na wafuasi wake wanajikuta wakiumizwa na majibu yake,ndio maana wenye akili zao timamu wnamsihi ajitahidi kujibu kisomi zaidi,na kwa utulivu.

Kuna watu wanamtegemea Dk Slaa kuwa rais wa nchi hii mwaka 2015(mimi si miongoni mwzo),hivyo anapotoa majibu mepesi tena ya kihuni wanaumia sana,mfano ni Mkuu Mungi leo ameumizwa sana na majibu ya Dk Slaa.Pole sana Mkuu Mungi!!
 
Kama upo hapo ukidhani Dr Slaa ni mtu maalumu sana kwenye hii nchi, basi umepotoka. Humu JF wapo mpaka mawaziri na uwa wanajibu maswali na hoja mbalimbali za members. Sasa sijui kati ya mawaziri na huyo Slaa ni nani ana thamani kwenye taifa. Kwa mwenye akili timamu, bila shaka atajibu waziri.

Lakini pia, nadhani kumwambia babu Slaa asiingie humu ni kama una mdhalilisha. kwa maana gani, kwa maana kwamba, inaonyesha babu Slaa ajitambui au ni nini hasa kimemfanya aingine na ajibu hoja ambayo hapaswi kujibu?

Usidangaye watu Kama kuna mawaziri humu na wanajibu hoja za watu! Kama kuna mawaziri tuwekee majina Yao ili wajibu hoja zetu!

Hao mawaziri wanapita tu na kusoma hoja mbalimbali bila kujibu lolote. Kama wanakimbia Midaharo inayoandaliwa na vituo vya habari Hapa Jf ndio wataweza? Hapa hawawezi kutia mguu waziwazi ni Kamanda Dr W P Slaa ndio anaweza na ata wewe Hamy-d unafahamu hivo! Na Mara nyingi tu akiombwa kutoa fafanuzi juu ya jambo lolote anajitokeza!

Sasa Kama wewe unaona kuna mawaziri humu, kuna hili swala la mgomo wa wamiliki wa Magari ya mizigo na Tayari tumeamza kuona Athari za huo mgomo kiuchumi na kwa namna nyingine!

Nakuomba wewe utusaidie kutuletea waziri muhusika atutolee fafanuzi au Kama kutakua na hoja ajibu au tafuta mtu yeyote mhusika aje atuwekee sawa hili jambo!

Ukishindwa kufanya hivyo Dr Slaa atabaki kua mtu muhimu Tz na ata ndani ya Jf!
 
Unatumia kigezo gani kumuita Dr Slaababu na kuuacha JK kumuita babu? pascaliaunahangaika sasa, unapimaje kujua ni viroja? ile ajali ilikuwa ni laana, na sijui kwa nini ilikuacha hai:A S 39:

POMPO,

Usiwe kama mwehu kudandia tu hoja njiani bila kujua chimbuko lake. Ungefanya kwanza tafiti kujua kwanini nimetumia neno "viroja" kabla ujajibu hoja yangu.

Actually sio mimi ambae nimeanza kutumia hilo neno humu, bali kuna pro CHADEMA mmoja alikuwa akimzuia babu Slaa asiwe anajibu post kama hizi kwa kuwa ni viroja.

So I was asking him, kama ni viroja, na babu Slaa anajibu, huoni kama babu Slaa ajitambui?, kwanini uwa anajibu viroja?, kwanini asipuuzie?
 
Last edited by a moderator:
1.Kuku ndiye mwenye jina moja,tutajia jibini yake.
2.Unamaanisha District Tressurer?
3.Sifa za kitaalamu ndio kigezo cha kuajiriwa,hivyo kumfagilia kuwa aliajiriwa ktk h/mashauri kadha nchini maana yake anafaa.
3.Huko alikovuta mkwanja alivuta kiasi gani?
4.Mwizi hupelekwa mahakamani,rulling ya mahakaama ilisemaje?
5.cdm hakuna ufisadi,
6.mhasibu ni mtu wa kupangiwa kazi na wakubwa wake.

Jambo sahihi husemwa na mtu sahihi kwa wakati sahihi

kuna watu wanajua wahasibu ni wezi! Katika taasisi mhasibu akiiba kaiba na wakuu wake. Labda aibe petty cash
 
Heshima yako Dr,

Mimi sikukosoi ila nakushauri tu kuwa siku nyingine ungemjibu mleta mada kuwa mhasibu mkuu wa chadema ni nani na aliajiriwa kwa vigezo vipi

Je nafasi ya kazi ilitangazwa?

Kama ilitangazwa, kwenye gazeti lipi?

Pia tungependa kujua kama unamfahamu huyu mtu anayeitwa Mwaluisi tafadhali.

Nadhani majibu hayo kama yangetolewa ungekuwa ndio mwisho wa hii thread ....

Mwana lukosi utwambombo mnyambala?
Hivi wewe kabla ya kwenda ccm si ulitokea cdm? Je kwakuwa ulifukuzwa cdm imekuzuia kufaa ndani ya ccm?
 
Mahakama hakuna?

Kwa serikali hii, byeusi kwao ni nyeupe, na mahakamani hata ukienda wana watu wao, mahakamani hakuna uhuru kihivivyo kama unavyodhani dada FaizaFoxy, kumbuka hata wale majaji makini wanaoamua vyesi fair hasa against CCM wamefikia hatua ya kutajwa hadharani na mmoja wa mabosi wako kuwa hao wanaihujumu CCM. Na labda nikusaidie tu huyo bosi wako ni [MENTION]Nape[/MENTION], alitoa arodha fulani ya majaji kitu ambacho ni upuuzi kwa kiongozi wa level yake. Maana tuanajua wapo watu wana vyeo vikubwa/ ama vinavyowazidi uwezo kama yeye lakini inabidi ujitahidi kuendana na cheo chako.

Nitakupa mfano kuhusu hilo, Katibu mkuu wa ccm, bosi wako Kinana, pamoja na kuwa na kashifa nyingi za kifisadi zinazotajwa juu yake ambazo unaweza kusema labda hazijasibitishwa lakini kwa position aliyopo huwezi kusema amepwaya ama vinginevyo tofauti na huyo kijana mwenzenu ambaye amekuwa akilopoka kila kukicha na yote anayoropoka yamekuwa ya ovyo kupindukia.
 
Last edited by a moderator:
POMPO,

Usiwe kama mwehu kudandia tu hoja njiani bila kujua chimbuko lake. Ungefanya kwanza tafiti kujua kwanini nimetumia neno "viroja" kabla ujajibu hoja yangu.

Actually sio mimi ambae nimeanza kutumia hilo neno humu, bali kuna pro CHADEMA mmoja alikuwa akimzuia babu Slaa asiwe anajibu post kama hizi kwa kuwa ni viroja.

So I was asking him, kama ni viroja, na babu Slaa anajibu, huoni kama babu Slaa ajitambui?, kwanini uwa anajibu viroja?, kwanini asipuuzie?

Anajibu kwa ssb uwongo/upotoshaji ukisemwa mara nyingi bila kukanushwa/kutolewa ufafanuzi hufikiriwa kuwa ndio ukweli
 
Tuwekeeni na CV za mhasibu wa maCCM ili tuwaamini na utaratibu mzima wa kumpata ulitumikaje? siyo kuganga njaa tu hapa JF

Kumbe CHADEMA inataka kuwa CCM?! Basi mkuu samahani nilikuwa sifahamu.

kama CHADEMA mmekuwa mkilaani mfumo uliopo na nyie CHADEMA kimya kimya mnautumia mfumo uliopo (mfumo CCM), then whats the point ya kuondoa CCM na kuweka CHADEMA madarakani wakati hakuna mbadala wowote; kwa maana yale yale ya CCM ndio hayo hayo ambayo CHADEMA mnafanya na kuyahalalisha.

CCM itaendelea kuwa madarakani (hata milele) kama upinzani wenyewe ndio huu.

cc: Ritz, ZeMarcopolo..
 
Last edited by a moderator:
Mkuu tuwe objective, nilichotaka kusikia kutoka kwa Dr ni kujibu pumba za mtoa mada, ambaye naye alitakiwa atuwekee facts kwamba mhasibu wa CHADEMA alikuwa mbadhirifu. Nilidhani Dr. angefafanua kama kawaida yake kuhusu mhasibu wetu, kwamba kwanza kabla hajaajiriwa alifanyiwa vetting, lakini pia kumfanya awe clean tungeona akimjibu mtoa mada kwamba kama kweli jamaa ni mwizi kwanini hakufunguliwa kesi mahakamani? Kitendo cha kusema kwanini Waziri wa TAMISEMI hakujiuzulu nadhani ilikuwa mapema sana.

variety is the spice of life. Mi nimependa jibu lake ambalo ni open ended! We should agree to disagree and disagree to agree! Pamoja kaka
 
Jiheshimu mkuu. Hivi kwanini mnafanya jinsia ya kike iwe kama mkosi, bahati mbaya au matusi?

Hivi kweli unadhani ukiniita dada ndio utanikera?!

Achani kudhalilisha jinsia ya kike. Wanawake ni mama zetu, shangazi zetu, dada zetu. Angalau tuwe na heshima kwao.
Kaizalilisha vp wakati kukusalimia dada hamida hujambo au ulitaka aseme kaka wakati wewe ni mdada.,jikubali bhana.
 
Unatumia kigezo gani kumuita Dr Slaababu na kuuacha JK kumuita babu? pascaliaunahangaika sasa, unapimaje kujua ni viroja? ile ajali ilikuwa ni laana, na sijui kwa nini ilikuacha hai:A S 39:

Mkuu funguka utujuze zaidi
 
Kuzoea ofisini ndo kutamwumbua sasa;
umeharibu kila mahali badala ukajiajiri
bado unatamani kuendelea kuharibu.
 
Anajibu kwa ssb uwongo/upotoshaji ukisemwa mara nyingi bila kukanushwa/kutolewa ufafanuzi hufikiriwa kuwa ndio ukweli

Exactly, sasa uwe balozi kwa pro CHADEMA wenzako ambao wamekuwa wakimkanya babu asiwe anajibu hoja humu jamvini.

NB: verified ID ya Dr Slaa uwa inatumiwa na Josephine. Tafadhari kuweni makini na majibu yake.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom