Huyu ndege anaitwaje?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Huyu kuna mahali nilimwona kwa ushamba wangu nikaogopa kushuka kwenye gari nikaona huyu hana usalama anaweza nichangamkia nilishuka nakukimbilia dukani kununua soda ila hata nilikua sina mpango wa soda.


Qn
 
anaitwa Marabou Stork,huyu ni maarufu kwa kua shingoni kwake anamfukao(gullar sac) ambao anaweza weka mifupa mikubwa kabisa na kumwagia nyongo kwa muda mfupi ikasagika yote,

ni mkubwa pia,kwa hivyo huo mfuko una rahisisha digestion,

sasa sina hakika kama hilo jina ndo limechukuliwa uarabuni au wapi

#Stayhome safe COVID-19 is everywhere
 
kituko, dume unakimbia ndege tena mjini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…