Huyu ndege anaitwaje?

Huyu ndege anaitwaje?

Hawa waliletwa mikoa ya kaskazini kupunguza uchafu.. hatimaye wamekula hadi yamejazana wengine wamefika hadi kahama

Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo zamani kidogo 😎 niliwahi kwenda Ziwa Manyara kulikuwa na ndege wengi wenye miguu myembamba kama hao ila wenyewe walikuwa weupe sa sijui ndio jamii ya hao, mana walikuwa wengi mnoo?
 
Huyu kuna mahali nilimwona kwa ushamba wangu nikaogopa kushuka kwenye gari nikaona huyu hana usalama anaweza nichangamkia nilishuka nakukimbilia dukani kununua soda ila hata nilikua sina mpango wa soda.

Qn
Duuh!!
 
Hapo zamani kidogo 😎 niliwahi kwenda Ziwa Manyara kulikuwa na ndege wengi wenye miguu myembamba kama hao ila wenyewe walikuwa weupe sa sijui ndio jamii ya hao, mana walikuwa wengi mnoo?
😁😁😁😁 zamani kidogo eee. Hahah inawezekana ndio wakawa jamii moja
 
😁😁😁😁 zamani kidogo eee. Hahah inawezekana ndio wakawa jamii moja
Hahahaaaa. Ndio zamani kidogo.😉

Itakuwa hivyo mana tofauti yao ni hayo madude yananing'ing'inia hapo kwenye koo.
 
Back
Top Bottom