Huyu ndege anaitwaje?

Tanzania kuna makabila mengi sana.

Kwa kabila letu tunamwita korona

Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaaaa. Ndio zamani kidogo.;)

Itakuwa hivyo mana tofauti yao ni hayo madude yananing'ing'inia hapo kwenye koo.
Wa ziwa manyara sio wakubwa ivyo pia wale sio wachafu kama huyo ni tofauti kabisa wa ziwa manyara ni waoga ila hyo si unaona kuna mwamba hapo juu alitelekeza mpaka gari kakimbilia kwa mangi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wa ziwa manyara sio wakubwa ivyo pia wale sio wachafu kama huyo ni tofauti kabisa wa ziwa manyara ni waoga ila hyo si unaona kuna mwamba hapo juu alitelekeza mpaka gari kakimbilia kwa mangi

Sent using Jamii Forums mobile app
Huyu anaonekana hana hata woga na mana hata alivyofotolewa anaonekana hana habari kwani angekuwa mwoga angesha paa zake.

Yule jamaa kanifanya nikacheka sa sijui hofu yake ilikuwa wapi kwamba angemdonoa ama? :D
 
Kama unasikiaga Ndege John ndio huyo.

Wengi sana Mwanza hasa sehemu walizoweka pa kuweka taka
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom