Huyu ndege anaitwaje?

Huyu ndege anaitwaje?

Huyu kuna mahali nilimwona kwa ushamba wangu nikaogopa kushuka kwenye gari nikaona huyu hana usalama anaweza nichangamkia nilishuka nakukimbilia dukani kununua soda ila hata nilikua sina mpango wa soda.


Qn
Usjali mkuu, hiyo ni kawaida kwa wanaume wa huo mkoa maana wengine wanaogopa hata mjusi...teh

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anaitwa "Bwana Afya" kwa mara ya kwanza niliwaona Mwanza.
Jamaa yangu alikuwa anajuwa wanaliwa, siku alipomuona kwa ukaribu aliogopa sana maana wanamakovu na ngozi imelegea.
 
Back
Top Bottom