Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Ila wanawake bana, hapo anajifanya kama anakujali, she is doing it for you, kumbe kapata mtu mwingine, mkubalie request yake, ikiwezekana mwambie na wewe ulikuwa unafikiria hivyo hivyo kuachana, halafu move on kweli kweli braza, usirudi nyuma bwana Bill Gate, huyo kuna asilimia zaidi ya 70 anaweza rudi, maana huko uraiani kuna Manyang'au
 
muulize pesa unatuma saa ngapi?.....sorry kuna biashara mlikuwa mnafanya pamoja? coz that bitch said atakurudishia!!!
Punyeto raha sana........huhongi,,,,huachwi.....no kalenda......popote ulipo ipo....
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
Dah pole sana mkuu aisee wanawake walio wengi sio watu wazuri kipindi chanyuma nilikuwa nawaona sio maplay boy ila kwasasa hata siwalaumu wanawake walio wengi wapo kwaajili yakuwachapa nao nakusepa sio kwaajili yamaisha
 
Dah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mno mkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Wee nae
 
Amesema 'she doesn't deserve you' inawezekana alimaanisha,'you don't deserve her' si unafahamau women tend to speak in reverse?
Anyways kubali yaishe keshapata anaye dhani anamstahili mbali ya wewe.
Ila endelea kuwa mstaarabu. Hata asipo kurudhisiha hiyo pesa we piga kimya.
Mtu huyu huyu anaweza akarudi na kuomba msamaha kwa maamuzi yake aliyochukua. Hata kama itakuwa ni zaidi ya miaka kumi. Hawa watu wanaendeshwa kwa hisia zaidi.
 
Inauma saana wakuu, huyu mwanamke nilimuamini saana. Ilifikia kipindi nilimpatia kiasi changu cha ziada cha pesa ninacho pata anisevie... Kama umesoma vizuri hyo screenshot amesema atatuma with no time.. Hapo sijamuelewa kabisa
Hiyo hela hataituma mkuu....niamini mimi
 
Mimi nina mtizamo tofauti wengine.


Nikweli wee jamaa ,umeshindwa kupigania penzi lako???? Nikweli kabisa kama ndio mwanamke unayempenda, umeshindwa kukaa naye, kumpa shule ya maisha na mapenzi??? . Ikiwa unaprovide kwake huduma, Umekaa ukatafakar nn kinamisika kwako,??


Yaan kirahisi rahisi umuache mwanamke wako?? Kwann ukubali kua mshindwa?? Na unaona lugha yake inaeleweka kabisa???.


Daahhhh kweli siku izi mapenzi hayana Radha kabisaaa .
Bonge moja la point!
 
Nikweli , lkn bila shaka mwanzo walikua naraha......sasa nn kimebadilika?? Kama mwanaume nilazima uchukue jukumu la kutafuta shida ipo wapi.

There must be something wrong!! Tatizo siku izi mnawaacha waishi wanavyotaka.

Mind you mwanamke nikiumbe anayetakiwa kukumbushwa na kufundishwa kila leo ,!!!
True
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom