G.Jacob
JF-Expert Member
- Aug 12, 2013
- 3,617
- 3,484
Kukaa kimya nalo ni jibu mkuu au hujui?Mleta mada ameomba ushauri wa "amjibu vipi" huenda ameona kukaa kimya hawezi.
Kukaa kimya nalo ni jibu mkuu au hujui?Mleta mada ameomba ushauri wa "amjibu vipi" huenda ameona kukaa kimya hawezi.
Asipotamka kwamba amesamehe hiyo pesa, litaendelea kuwa deni hata baada ya wao kutoweka duniani. Kwa hiyo usichukulie hivi vitu kirahisi rahisi, epuka kumsababishia mtu akaishi na kinyongo namna hiyo, lazima itakugharimu somewhereumeona wapi demu hasa uliyetembea naye arudishe pesa?
tena walipeana bila maandishi sababu ya mahaba.
hapo hakuna pesa kurudishwa, vinginevyo angetuma pesa kwanza ndipo aandiko hizo txt
OKMjibu "OK".Hili jibu huwa linawaumiza sana nimekuwa nikilitumia sana na limeonesha matokeo chanya maana unamuachia homework nayeye ajiulize ina maana kumbe alikuwa hanipendi?Mbona hajaumia?So muda wote nimejicholesha kwake?
Ukishamjibu hivyo kaa zake sehemu tulvu ukitafakari maisha yajayo.
Always use them against them and remember there is no easy task in a battle field.
Haya maneno ni ya kutumia ukiwa unatongoza yani bado unabembeleza kimwama mpya, sio jitu kipo linapigwa kila style na jamaa mwingine.Usipende kuwa na kauli mbaya hata kama yeye ndo kakukosea mjibu hivi
Mpenziii wangu najua wewe u mwanadamu kama mwanadamu mwingine kukosea ni jambo la kawaida na kuomba msamaha ni hatua nyingine . nakupenda mno sijui hata naweza semaje. Nikiwa mwanaume nimelia machozi kwani nilikuzoea mno penzi lako tamu kuliko umande arabuni, nimeumia, nimesononeka lkn kwanini Mimi nimekusahehe hata kama sijajua nini ulinikosea . please be at my bosom, wewe zaidi ya rafiki , fahari yangu umenitesa hakika hakuna mwanamke atakayeziba pengo na sidhani kama ntapata kweli
Lkn siwezi pinga maamuzi yako , nakutakia kila la kheri uendako ntakukumbuka daima . Nakupenda bby.
Unaweza kuibadirisha kiingereza mwanaume anayejua haachwi hivi hivi lzm kuna siku atarudi angalau uwe mchepuko mkomavu
Ujuaji wako utakufanya ujute siku mojaHaya maneno ni ya kutumia ukiwa unatongoza yani bado unabembeleza kimwama mpya, sio jitu kipo linapigwa kila style na jamaa mwingine.
@Miss powers umesoma txt zote?Mnaomwambia A move on bila kumtafuta tena sijui kama mnaelewa maumivu yake vizuri na uchizi ambao mtu unaweza kupata kwa mawazo. Heri umtafute muachane kwa amani tu. Japo hata akikwambia sababu haitasaidia lakni si sawa na kuugulia bure
Mtumie picha umekaa na wahuni wameshika mapanga afu chini andika pesa ndo kila kitu..nusu saa tu mkuu MPESA itaandika Imethibitishwa BQNXYFHHD...MBado mkuu, na sikumjibu chochote tangu ile jana
Hii inafanana na demu wangu alinambia i am sorry nimekukosea tuachane..kumbe tayar keshadungwa mimba..usimwamini sana mwanamke hata kama unamtaniaHuyu ashapewa mimba huko kwengine.hana chakufuata kwako