Huyu mwanamke nimjibuje?

Huyu mwanamke nimjibuje?

Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
Ndo ushakula kibuti mzee, tafuta pesa sasa
 
Pole songa mbele
Kama unampenda muite mkutane akupe sababu za msingi akikataa mpotezee mazima huwa hawachukui round wanarudia matapishi yao
 
Pole songa mbele
Kama unampenda muite mkutane akupe sababu za msingi akikataa mpotezee mazima huwa hawachukui round wanarudia matapishi yao
Ahsante kwa ushauri wako mkuu..
 
Hapo ndo unapoweza kuona umuhimu wa side chick kama hapo unauliza unatuma pesa zangu lini? Na pia unamtumia picha kadhaa ukiwa na mtoto mkare zaidi yake na pia
ukimtumia picha wakati huu naye akiwa kwenye penzi zito haitamuuma, dawa yake ni kutomsemesha kwa kipindi flani hadi huyo mfadhili mpya aanze kumletea mapichapicha.
siku akianza kujirudi kwako ndipo unaweka silaha zako mpya hadharani, hii itampa mateso na majuto.
nashauri huyu jamaa ale kimya kabisa, mbona demu atajiletaga mwenyewe tu
 
Moja kwa moja niende kwenye mada,

Kipenzi changu alianza kubadilika ghafla yapata wiki moja iliyopita. Tumekuwa kwenye sintofahamu. Sikuelewa mwenzangu alipatwa na nini, SMS hajibu kwa wakati na pia kila nikimuuliza alikuwa anajibu jeuri, sikuelewa amepatwa na nini.

Niliamua kuwa mvumilivu ili nione labda atabadilika. Ila nimeshangaa kanitumia SMS usiku huu, kama screenshot inayvoonekana hapo chini.

Hii ina maana gani? Nimjibu au nimpotezee?

Ushauri wenu tafadhari, maana nahisi tumbo Joto.

View attachment 836200
Mtu kama huyu sio tu, she does not deserve u, but also she does not deserve your response.
 
Kama jamaa akiwa kauzu atarudisha, ila akiremba inaondoka.

BTW unaanzaje kutunzia hela kwa mchuchu?

Hiyo ni sawa na kujenga ukweni halafu useme eti nyumba yako.
huenda hiyo nayo ikawa sababu ya kuvunjika kwa uhusiano, demu katumia pesa yote kwa matumizi binafsi na hajui atarudisha je.
mkuu mzima lakini!
 
Yaani hapo usipojibu tu utakuwa umemuunganisha kifurushi cha maumivu Yeye... usijibu chochote na hata akipiga simu usipokee, ai wishi ai kudu bi yu...
 
Ana ngoma huyo (hiv/aids) hataki kukupa kwahio mshukuru kwa kutokuua then tembeaaa mblock kuanzia whatsapp hadi txt za kawaida bila kusahau mpesa na facebook
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom