Energy ya kumwandikia upupu huu mtu ambaye unajua yuko na mwanaume mwingine unaitoa wapi?Usipende kuwa na kauli mbaya hata kama yeye ndo kakukosea mjibu hivi
Mpenziii wangu najua wewe u mwanadamu kama mwanadamu mwingine kukosea ni jambo la kawaida na kuomba msamaha ni hatua nyingine . nakupenda mno sijui hata naweza semaje. Nikiwa mwanaume nimelia machozi kwani nilikuzoea mno penzi lako tamu kuliko umande arabuni, nimeumia, nimesononeka lkn kwanini Mimi nimekusahehe hata kama sijajua nini ulinikosea . please be at my bosom, wewe zaidi ya rafiki , fahari yangu umenitesa hakika hakuna mwanamke atakayeziba pengo na sidhani kama ntapata kweli
Lkn siwezi pinga maamuzi yako , nakutakia kila la kheri uendako ntakukumbuka daima . Nakupenda bby.
Unaweza kuibadirisha kiingereza mwanaume anayejua haachwi hivi hivi lzm kuna siku atarudi angalau uwe mchepuko mkomavu
Nimesema usipende kuachana kwa Shari kaamua kukuacha wewe hakuna shida usionyeshe kama hakuwa na manufaa kwako . jua hujui kesho itakuwaje maisha ni mzunguko ujumbe kama huo lzm alie kwa nini uhuzunike pekee yako na yeye mpelekee kilioEnergy ya kumwandikia upupu huu mtu ambaye unajua yuko na mwanaume mwingine unaitoa wapi?
Mpaka wewe anakuacha jua kuna kitu kakiona kwingine ambacho hakipatagi kwako.
So stay calm and move on.
pointEnergy ya kumwandikia upupu huu mtu ambaye unajua yuko na mwanaume mwingine unaitoa wapi?
Mpaka wewe anakuacha jua kuna kitu kakiona kwingine ambacho hakipatagi kwako.
So stay calm and move on.
Akili za kuambiwa achanganye na zake, kwenye mishe za mapenzi kuna mambo mengi ya ajabu yanatokeaga, wa pembeni tunatoa ushauri mwingine na wao wanaibuka na solution nyingine.Nimesema usipende kuachana kwa Shari kaamua kukuacha wewe hakuna shida usionyeshe kama hakuwa na manufaa kwako . jua hujui kesho itakuwaje maisha ni mzunguko ujumbe kama huo lzm alie kwa nini uhuzunike pekee yako na yeye mpelekee kilio
Lkn kwa SMS hizo anaweza akawa anamjaribu aone anapendwa au LA
Mwanamke kiumbe dhaifu ujue
Pesa iliyobeba uchungu, kweli kabisa inabidi atafute masela waipige tu biaMkuu hiyo Pesa akikutumia Kula Bia au Ibetie aisee kabisa maana itakuwa na Laana
Coup ukitoa ushauri kwa kusikiliza pande moja utapata shida sana wanajuana waoAkili za kuambiwa achanganye na zake, kwenye mishe za mapenzi kuna mambo mengi ya ajabu yanatokeaga, wa pembeni tunatoa ushauri mwingine na wao wanaibuka na solution nyingine.
Kazi inabaki kwenu mliosema waachane, wanabaki wanawachora.
Ila mwanamke akishaniacha akaenda kwa mwanaume mwingine, sihitaji kushaurisha yeyote, sihitaji tafakari, sihitaji kujiuliza.
Labda tu kama namtegemea yeye kimaisha.
uko sahihi sana, akiniacha wala sitaongelea habari zake popote na sitaki mtu aniulizeAkili za kuambiwa achanganye na zake, kwenye mishe za mapenzi kuna mambo mengi ya ajabu yanatokeaga, wa pembeni tunatoa ushauri mwingine na wao wanaibuka na solution nyingine.
Kazi inabaki kwenu mliosema waachane, wanabaki wanawachora.
Ila mwanamke akishaniacha akaenda kwa mwanaume mwingine, sihitaji kushaurisha yeyote, sihitaji tafakari, sihitaji kujiuliza.
Labda tu kama namtegemea yeye kimaisha.
Hili ndo la muhimu kwa sasaMwuulize hiyo hela utatuma lini?
Hahahaaaaa!!! Yaani nimecheka jamaniDah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi

BuhahahaDah usiombe uachwe na dem anaejua english inauma sana.mpaka nimetoa machozi kuona hzo text nimekumbk mbali mnomkuu pole sana achana nae tafuta pesa .
Ila maneno ya hiyo dem kam unampenda hutoysahau
Ngj nimalize kulia nitarudi
Amuite kwa lipi? aachane kabisa na huo upuuzi, aliyelianzisha ndo anatakiwa alimalize mwenyewe. Cha muhimu kwa sasa asubirie hiyo meseji ya M-PESAPole songa mbele
Kama unampenda muite mkutane akupe sababu za msingi akikataa mpotezee mazima huwa hawachukui round wanarudia matapishi yao
Hahaha..unampigia mbuzi gitaa, don't be so soft man. Yaani uamue kuwa mchepuko wa demu ambaye ameshakuacha!?Usipende kuwa na kauli mbaya hata kama yeye ndo kakukosea mjibu hivi
Mpenziii wangu najua wewe u mwanadamu kama mwanadamu mwingine kukosea ni jambo la kawaida na kuomba msamaha ni hatua nyingine . nakupenda mno sijui hata naweza semaje. Nikiwa mwanaume nimelia machozi kwani nilikuzoea mno penzi lako tamu kuliko umande arabuni, nimeumia, nimesononeka lkn kwanini Mimi nimekusahehe hata kama sijajua nini ulinikosea . please be at my bosom, wewe zaidi ya rafiki , fahari yangu umenitesa hakika hakuna mwanamke atakayeziba pengo na sidhani kama ntapata kweli
Lkn siwezi pinga maamuzi yako , nakutakia kila la kheri uendako ntakukumbuka daima . Nakupenda bby.
Unaweza kuibadirisha kiingereza mwanaume anayejua haachwi hivi hivi lzm kuna siku atarudi angalau uwe mchepuko mkomavu
Mkuu inabidi asubirie mpaka hela zake zikisharudishwa maaana akionesha sasa hivi pesa haitarudishwaukimtumia picha wakati huu naye akiwa kwenye penzi zito haitamuuma, dawa yake ni kutomsemesha kwa kipindi flani hadi huyo mfadhili mpya aanze kumletea mapichapicha.
siku akianza kujirudi kwako ndipo unaweka silaha zako mpya hadharani, hii itampa mateso na majuto.
nashauri huyu jamaa ale kimya kabisa, mbona demu atajiletaga mwenyewe tu
umeona wapi demu hasa uliyetembea naye arudishe pesa?Mkuu inabidi asubirie mpaka hela zake zikisharudishwa maaana akionesha sasa hivi pesa haitarudishwa
nyie ni watu muhimu sana kwetu lkn siku hizi mioyo yenu inasaka zaidi wafadhili kuliko mapenzi ya dhatiHahahahaha kapata danga huyo ....yaani wanawake sisi loool.....ukiona mtu anakuja kukwambia nimeona bora tuishie hapa endelea tu na maisha yako ...ujue kabisaaa kapata mwanaume mwingine ...ila shukuru amekwambia kuliko angekuzungusha ...mwache aende
Inategemea na aina ya mwanamke uliyenae .....sio wote wako hivyonyie ni watu muhimu sana kwetu lkn siku hizi mioyo yenu inasaka zaidi wafadhili kuliko mapenzi ya dhati