uwiiiii nimekosa kitufe cha like
like like like like
wewe umeanza lini uchoyo wa like? mimi nimekulike 5times in a single post:A S new:
uwiiiii nimekosa kitufe cha like
like like like like
Mimi sitaki tena hawa wadudu nilishatendwa,kazi yangu siku hizi ninawakanyaga tuwewe bulola umetukana ndugu zako wote wenye jinsia ya queen, eti 'wadudu ni wanyama' umezaliwa na mdudu wewe? Umeoa au una girlfrnd mdudu na unalala nae..! Agrrrrrrrrr!!!!
hayajakukuta,usione watu wanapia risasi tu,ulishasikia harufu ya damu?kichefuchefu kwako,,, mtindi wa fungus wenzio wanalia ugali.
wewe umeanza lini uchoyo wa like? mimi nimekulike 5times in a single post:A S new:
Namuona Ghati yuleee anajiandaaa kwenda kuchunga !!!
hii kiboko,. Nimeipenda mkuu!!
hayajakukuta,usione watu wanapia risasi tu,ulishasikia harufu ya damu?
acha tu nililo nalo rohoni ni mimi mwenyewe najuaHahahahaaaa mkuu umenichekesha sana eti "ushasikia harufu ya damu"