Lugano1
Member
- Oct 12, 2013
- 18
- 3
Hahahahhaaaaa!! Safi saaaaana hii picha
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
hahahaha! Asantee hawa jamaa sijui wanamtindio wa ubongo, kila kitu picha! Mamaae bora umewaekea.
Hahahahhaaaaa!! Safi saaaaana hii picha
Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Uusiniulize kwanini..sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi kama pesa we kunywa ntanunua..
Mi mwanzo sikuamin...nikajuaga vya kuzua..
Kumbe mjinga ni mimi ninayetunza wenzangu wanachukua..
Aii ooh mapenzi...mapenzi yamenifanya ka mtoto nilie vibaya....
NAIMBA TU...pole na hongera mkuu...