Huyu mwanamke aliniharibia maisha kabisa....

Jifanye unamsamehe halafu akifungua moyo wake yaani akianza kukupenda yeye, wewe unampiga kibuti.

Mkuu, asanta kwa ushauri.
Lakini minaogopa kutenda nisichopenda kutendewa, na roho ya kulipiza pia sina
 
Dah Pole kwa kupata ukichaa...mi nakushauri mwite ghetto halafu mwache kwa dharau kuu!! Halafu mtimue...ila make sure, shetani asikuingilie kati ukachanganyikiwa, mwombe Mungu na fanya kama nilivyokuagiza

Mkuu asanta, lakini minadhani dunia itamuonyesha dharau kuliko alonionyesha.
Pia am so busy now days and nikipata muda huyoooo...., naingia jf
 
Ni vizur kutokulipiza kisasi mwache Mungu alipize mwenyewe. Ila kama hii habar yako ni ya kweli basi kaa mbali na huyo Queen sbb sikuhizi mabint wanatumia hadi ushirikina. Usije kushangaa from know where wewe ndyo unaanza kumwomba msamaha. Kikubwa endelea kumwomba Mungu akupe mke ambaye atakupenda kwa dhati. All the best!

Mkuu, asanta kwa ushauri.
Lakini minaogopa kutenda nisichopenda kutendewa, na roho ya kulipiza pia sina
 
1005409_376225019155696_760214894_n.jpg

Haya kashaiona picha, Nadhani sasa atatoa comments-Nimeipenda-gah hii
 
Haya kashaiona picha, Nadhani sasa atatoa comments-Nimeipenda-gah hii

napenda sana kuwaridhisha wapenda picha! sipendi kuona mtu anashindwa kutoa comment sababu ya kukosa picha!

NEVER!
 
Ni vizur kutokulipiza kisasi mwache Mungu alipize mwenyewe. Ila kama hii habar yako ni ya kweli basi kaa mbali na huyo Queen sbb sikuhizi mabint wanatumia hadi ushirikina. Usije kushangaa from know where wewe ndyo unaanza kumwomba msamaha. Kikubwa endelea kumwomba Mungu akupe mke ambaye atakupenda kwa dhati. All the best!

Named, Thank you bigtime
 
Back
Top Bottom