Huyu aliyebandika mabango ya Imani Upendo Miujiza ya mkutano wa dini Dar, achukuliwe hatua

Mr. MTUI

JF-Expert Member
Feb 18, 2013
8,130
8,330
Matangazo yametapakaa Dar kuanzia kwenye nguzo za umeme, madaraja..mitaro n.k

Anapaswa kushughulikiwa na kuamriwa kusafisha miundombinu aliyoichafua.

=========

20210918_122035.jpg


20210918_122007_HDR.jpg

Uzio wa Yapi Merkez, eneo la Raha Leo-Dar

20210920_091541.jpg

Baadhi ya mabango yakiwa yameondolewa eneo la ujezi wa flyover-Chang'ombe
 
Bila shaka haya matangazo yamelipiwa maana yapo hadi kweny mabango makubwa yale ya hamlashauri kbsa. Pia siyo matangazo mabaya, mara 1000 matangazo haya kuliko yale ya Uchafuzi mkuu wa Mwenda zake na Genge lake walivyochafua Nchi nzima kwa mabango ya Uchafuzi hewa
 
Acha watu wakamchangie muhindi gharama alizotumia kutangaza.

Mpaka karne ya ishirini na moja binadamu mwafrika hajui injili mpaka aende mkutanoni, biblia zimejaa ndni, YouTube, Facebook, minyimbo ya onjili kila kona nk bado hawaelewi kilichoandikwa ila wiki moja ya muhindi wataelewa zaidi.

Ajabu sana.
 
Back
Top Bottom