Passion Lady
JF-Expert Member
- Nov 17, 2012
- 8,694
- 4,646
hivi mwanaume mzima
unashindwa kumwambia huyo mama
akukome?mpe makavu live bana heeee!!
Nyota yako inang'aa mkuu. Nawahesabuwewe pedejee lako halijambo?
lol
kukumbusha tu kuna sita empty zinakusubiri kama vipi fwata ushauri utamalizia za mbele waala usihofueeh bwana 'muonjeshe' mwenzio mzuka upoe huo (isitoshe ni upepo mchafu huo utapita tu baada ya hapo🙂...tafadhali japo 'kichwa' tu🙂. Halafu mpe 'msisitizo' mzito kuwa unachofanya wewe ni hisani tu ya kumsitiri tu lakini mmiliki wa 'ndizi' ni mkeo sio...na kwamba utam-fire akikuletea viji rules & regulations au kuanzisha viashiria vyovyote vya kimashindano vitavyo athiri haki za mmiliki halisi (yaani mkeo)..lol
acha ushauri huu ndugu , uzoefu nilio nao huyo mtu atakuwa muathirika sasa anatafuta pa kuenezea na mara zote ni watu ambao wanaweza hata akawa karibu na familia yako kukupa courage ya ku do nayeKwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee
mbona silioni mkuu ukizingatia mi natumia kama defence mechanism?
Ni full shetani huyo anataka kukuangamiza kiroho na kimwili (Maambukizi..)Ikimbie zina usiikurubie.
Kama unashindwa kufanya maamuzi kuhusiana na ustawi wa ndoa yako unawezaje ku-manage shughuli za ofisi? Binafsi nimesikitika sana kwa kitendo cha mtu mzima kushindwa kufanya maamuzi sahihi...sijui siku hizi tuna aina gani ya watu makazini.
Kesi ka hyo ishantokea, we mzingue mwambie we u.na.fi.ra.ga kuanzia hapo atakuwa anakupita kwa mbali. It worked for me
Kwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee
Taifa makini linategemea watu makini mkuu. Luku
Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
mkuu TIQO,ikitokea bahati nzuri nikaanza kuharisha,kutapika,kukohoa na kuishi kwa dozi,mke wangu na mwanangu watakuwa katika hali gani?