The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,613
Na kwa nini iwe mara moja tu
husaidia punguza usumbufu
hasa wa kikazi
we ungependa mara mbili?
Na kwa nini iwe mara moja tu
ndo maana kuna zana za kazi kwaajili ya kuhakikisha usalama kazini, tumia zana kula mpaka kabang uone kama atarudi tena
Kwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee
husaidia punguza usumbufu
hasa wa kikazi
we ungependa mara mbili?
wana jf salaam,naombeni ushauri wenu tafadhali,(serious).huyu mmama ana umri unaokadiriwa miaka 40 hivi,tunafanyanae kazi sehemu moja vitengo tofauti.kwa ujumla kazi yangu na yake zinategemeana kwa hiyo mara nyingi huwa tunaonana sana tunapokuwa kazini.mbaya zaid alikuwa mjumbe wa kamati kwenye harusi yangu na alihudhuria pia.siku za hivi karibuni ameanza kunifanyia vituko,akiniona mara aje anishike kimahaba tena mbele za watu,mara aniite maneno yote ya kimapenzi.cha ajabu hivi karibuni amekuwa akiniomba tutoke huku akiniambia hajaduu kama mwezi hivi.nimejaribu kutumia mbinu zote za kusema NO kiistaarabu lakini naona zinagonga mwamba.sitaki kutumia agressive wayz kwani kulingana na kazi zetu iko siku nitahitaji msaada wake na yeye iko siku atahitaji msaada wangu.ameanza sasa kunipigia simu usiku akijijulia hali,nimekuwa nikipokea simu zake freely kwani waifu kituo chake cha kazi ni mkoa.naanza kupata wasiwasi hali hii ikiendelea hivi si ndoa yangu itakuwa inatetereka?plz naomba msaada wa the best way ku resolve hii kitu bila kuleta chuki,uadui wala maelewano mabaya ya kikazi.
ushauri wa Zogwale ni mzuri. kuhusu ofisini akianza kuzingua, make formal requests for information (letters etc), she has to give you au ataonekana vibaya kwa bosi mkubwa. sometimes mwanaume fanya tough decisions kulinda ndoa/principles zako. glad u care about ur ndoa this muchnakusoma sana mkuu Zogwale,yote hayo anayafahamu but kuna kazi zingine ambazo ukishapewa kuzifanya ni lazima tu umuone yeye akupe data za kutosha kama unataka ufanikiwe kwa asilimia kubwa,na hivyo hivyo kwa ubande wake.sikatai kabisa unachokisema but i need the best solution
Acha utoto, si umgegede tu
the boss ni 'mwanaume wa kiafrika'. ushasikia wapi simba anamkataa swala aliyejileta mwenyewe. lolhe is the one and only; so you think you knew him? Think again.
BTW ile the GUIDE unafikiri author wake ni nani?
hayo ndo umayeona maujanja hapa town?
he is the one and only; so you think you knew him? Think again.
BTW ile the GUIDE unafikiri author wake ni nani?
The Boss heshima yako! LOL
utaniharibia royal baby oh sorry the royal baby .btw hebu nieleweshe kaunga kaniquote nini hapo juuchocolate pie lol
unatutafuta wangapi kwa mpigo??Hujambo we mtoto?
nakutafuta huonekani...
Bas mweleweshe mwenzio vizuri nadhan ushauri wako waweza kua very constructive kwakwe,cha msingi ajue hiyo mara moja itakua applicable vipi
unatutafuta wangapi kwa mpigo??
ushauri wa Zogwale ni mzuri. kuhusu ofisini akianza kuzingua, make formal requests for information (letters etc), she has to give you au ataonekana vibaya kwa bosi mkubwa. sometimes mwanaume fanya tough decisions kulinda ndoa/principles zako. glad u care about ur ndoa this much
ndio kilichobaki
Asante. ila tutabanana hapahapa mjini haendi mtu kijijinikweli umeishiwa mkuu,nakushauri urudi shamba ukaongeze makali