Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

Kituo cha kazi cha mkeo ni "mkoa" nawe upo wilayani?!!!

Je huyo mama ameolewa?? Kama hajaolewa wewe kula taratibu tu ila zingatia vigezo na masharti vya kuwa na Mpango wa kando a.k.a second derivative.
 
Eeh bwana 'muonjeshe' mwenzio mzuka upoe huo (Isitoshe ni upepo mchafu huo utapita tu baada ya hapo🙂...tafadhali japo 'kichwa' tu🙂. Halafu mpe 'msisitizo' mzito kuwa unachofanya wewe ni hisani tu ya kumsitiri tu lakini mmiliki wa 'ndizi' ni mkeo sio...Na kwamba utam-fire akikuletea viji rules & regulations au kuanzisha viashiria vyovyote vya kimashindano vitavyo athiri haki za mmiliki halisi (yaani mkeo)..lol
 
kulingana na kazi zetu iko siku nitahitaji msaada wake na yeye iko siku atahitaji msaada wangu .SASA KAMA UNAJUA HILI UNLALAMIKA NINI ??SIKU YAKE KUOMBA MSAADA IMEFIKA MSAIDIE SASA!
 
eeh bwana 'muonjeshe' mwenzio mzuka upoe huo (isitoshe ni upepo mchafu huo utapita tu baada ya hapo🙂...tafadhali japo 'kichwa' tu🙂. Halafu mpe 'msisitizo' mzito kuwa unachofanya wewe ni hisani tu ya kumsitiri tu lakini mmiliki wa 'ndizi' ni mkeo sio...na kwamba utam-fire akikuletea viji rules & regulations au kuanzisha viashiria vyovyote vya kimashindano vitavyo athiri haki za mmiliki halisi (yaani mkeo)..lol
kukumbusha tu kuna sita empty zinakusubiri kama vipi fwata ushauri utamalizia za mbele waala usihofu
 
Ni full shetani huyo anataka kukuangamiza kiroho na kimwili (Maambukizi..)Ikimbie zina usiikurubie.

Kama unashindwa kufanya maamuzi kuhusiana na ustawi wa ndoa yako unawezaje ku-manage shughuli za ofisi? Binafsi nimesikitika sana kwa kitendo cha mtu mzima kushindwa kufanya maamuzi sahihi...sijui siku hizi tuna aina gani ya watu makazini.
 
Watu mnapata bahati kama hizo mnaacha kuziutilize mie ukintajia maza stim zinapanda
 
Mimi naona kwa uoga wako wa kumuuzi utajikuta unamuuzi mkeo. Pima nani wa muhimu kwako! Yeye au familia yako?? Nikisoma post zako nahis wwe ni mwanaume fulani hivi ambaye una upendo wa kweli na unatjamini mkeo! Hiyo ndo sifa ya maana katika jamii. Mwambie live humtaki au mtafutie watu wazima kidogo hapo hapo ofisini waongee nae. Asikuharibie maisha huyo! 'Eit ana mwezi haja do' lol.... Ana laana. So aliokuwa anado nao wamekufa??? Si akaendelee nao huko?? Mwambie live bwn. Mimi kikweli sipendi kabisa mijitu miongo kwene relation! Huyo ukimpa anakuharibia live
 
Ni full shetani huyo anataka kukuangamiza kiroho na kimwili (Maambukizi..)Ikimbie zina usiikurubie.

Kama unashindwa kufanya maamuzi kuhusiana na ustawi wa ndoa yako unawezaje ku-manage shughuli za ofisi? Binafsi nimesikitika sana kwa kitendo cha mtu mzima kushindwa kufanya maamuzi sahihi...sijui siku hizi tuna aina gani ya watu makazini.

Mwelezee huyo, imagine na sisi wanawake tumgekuwa tunapanick na kushindwa kujua cha kufanya kila tunapotongozwa sijui ingekuwaje.
Mimi nina collegue wawili (tupo 3 kwa section) ambao hawajaacha kurusha neno na kupigana madongo kwa over 8 years; na tunapiga mzigo tu. Amwambie ukweli huku akimaanisha kwamba they can have any kind JF relationship kasoro mapenzi.
Huenda anakenuakenua meno anavyotongozwa.
 
Huyu dada unayemwita mama anasumbuliwa na hamu tu. Endelea kumpotezea ataacha tu. Wapo wengi sana kama hao ni kawaida tu.
 
Kaka ni shetani kaingia chumbani...umeamua kusema ukweli(km bado hujafanya)...aaah lakini embu brief kidogo mazoea yenu hadi ...sijado mwezi mzima...yamekaaje...nitakupa ushauri jinsi ya kumpanga mkeo baada ya shetani kung'oa zipu yako maana nina mashaka na msimamo wako. Mwanaume unalalamika jambo lililo ndani ya uwezo wako? Kua mkubwa bwana! Samahani lakini..
 
Fumba macho.. msaidie mwenzako kma unavyosaidiana kazin mkuu
 
Mh! mpe live bila chenga akikupenda akikuchukua had nothing to do with you. Kwani yeye Mungu wako? Jamani jaribuni kuwa waelewa, kama Mungu ungemuogopa kama hivyo unavyoogopa kumuudhi eti ni mtu wa karibu yako nafikiri asingefikia kukutaka kimapenzi.

Huyo ni jinamizi we lilee likukuvurugie maisha!
 
Back
Top Bottom