Toria
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 1,177
- 699
Anajua ni yeye tu
wewe hujawahi pata usumbufu ukaona bora
iitokee mara moja yaishe?
how old are u if you dont mind..
haa ha ndio mana mi na yeye tunaitaji hiyo shule ya katakiu
Am just your agemate....
Anajua ni yeye tu
wewe hujawahi pata usumbufu ukaona bora
iitokee mara moja yaishe?
how old are u if you dont mind..
sio guarantee atakupa 'sub standard info', if she does that unaweza ku-reciprocate (fire with fire). it worked for me nilipokutana na similar problem with another student so its worth a shot. fanya trial na error eventually mtafika 'common ground'nimekupata sana Blaine,kila ushauri nauchukulia kwa umuhimu sana,naufanyia upembuzi kabla ya kuanza kuutumia.hebu tuangalie kwa mapana yake,mfano unaona walimu walichokifanya mwaka jana?hawakugoma kufundisha wanafunzi but they didn't deliver to their best...naamini you saw what happened kwa form four.nataka kuavoidi situation kama hii but all in all kazi ni ya muhimu sana kwa kuwa ndo inanifanya hivi nilivyo lakini pia familia yangu ni ya muhimu sana tena sana katika maamuzi yangu yoyote
Huyo keshapata nyepesi huko mkoa mkeo anagegedwa ndio anakushangaa kulaza damu; wewe fanya kamuzi mambo yako ya kiofisi yakae sawa shauri yako bhanathanx mr Lover,simpendi huyu mama,nampenda sana mke wangu,na mara zote nikikutana na huyo mmaza kitu cha kwanza kabisa huwa nachomekea stori za kumsifia mke wangu na kumuonyesha ni jinsi gani nampenda sana waifu na maisha yalivyo supa nikiwa na waifu...mmaza atakusikiliza sana na yeye atakusifia sana BUT ukimpa tu nafasi aongee basi lazima topic zitabadilika tu na kuelekea kwenye malengo yake.
Huyo keshapata nyepesi huko mkoa mkeo anagegedwa ndio anakushangaa kulaza damu; wewe fanya kamuzi mambo yako ya kiofisi yakae sawa shauri yako bhana
mgonge tu condom si zipo
kwa kuwa yaonesha una msimamo (pengine madhubuti) katika ndoa yako, basi mwambie tu kiulaini kwamba unamzimia ile mbaya ila katu katu hutaweza kungonoka naye hata siku moja labda aache kazi kwanza au akutafutie kazi nzuri kwingine kwanza ndio utaweza kula hilo tunda analotaka kukususia... Kuwa mwelevu kama nyoka kijana............
achana nae
hii hali ya Koh, koh, koh, koh, koh, koh, koh, na kuhara ni hatari sana
hizo unazoziita "zana" zina 3 percentage error.
1.kosa la kwanza ni kosa la utengenezaji(manufacturer error).
2.kosa la pili ni la utunzaji(storage error)
3.kosa la tatu ni la utumiaji(usage error)
nitafafanua endapo utahitaji
Lakini umebakiwa na 97% hiz ndo za muhimu.
hayo ni majaribu jikaze utayashinda..,
Duniani kusaidiana banaaaa...ka unatambua iko siku utahitaji msaada wake basi nawe msaidie kwa sasa..na si ajabu huwa anawasiliana na mkeo bila wewe kujua.......huo mkia wa mbele ulopewa sio wa mkeo tu .....si ajabu hata mkeo huwatega wengine huko afanyako kazi
Kwani ukimlamba mara moja utakosa nini?
ounguza utoto aisee