Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

Huyu mmama anahatarisha ndoa yangu

Hili ndio kosa lako
thanx mr Lover,simpendi huyu mama,nampenda sana mke wangu,na mara zote nikikutana na huyo mmaza kitu cha kwanza kabisa huwa nachomekea stori za kumsifia mke wangu na kumuonyesha ni jinsi gani nampenda sana waifu na maisha yalivyo supa nikiwa na waifu...mmaza atakusikiliza sana na yeye atakusifia sana BUT ukimpa tu nafasi aongee basi lazima topic zitabadilika tu na kuelekea kwenye malengo yake.
 
Pole sana sasa wahitaji tukushauri coz yeye anakupenda na ww unampenda ila unaogopa ndoa yako kuteteleka so lipi usaidiwe? Kama vp mpe namba yangu mm sjaoa.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

Ndo uzuri wa JF,full solutions,hata uwe una shida gani,utapata msaada
 
Ikimbie zinaa maana dhambi zote anazofanya mtu ni nje ya mwili wake isipokuwa zinaa ni ndani ya mwili wake mwenyewe.Kimbiaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
achana nae
hii hali ya Koh, koh, koh, koh, koh, koh, koh, na kuhara ni hatari sana

Siku hizi hakuna koh koh kho wa ku drive ni kimya kimya......ila kija kamata mzigo kula tena cha juu kwa juu usimalize genye zake zote
 
Pole sana sasa wahitaji tukushauri coz yeye anakupenda na ww unampenda ila unaogopa ndoa yako kuteteleka so lipi usaidiwe? Kama vp mpe namba yangu mm sjaoa.


Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums

huyo mama mhh
 
Haaahaaa...anataka dozi huyo. Akili mu kichwa yako.
 
Mpe ile kitu ye nataka mwisho ataanza kukupakazaia mbovu atasema umemgonga wakati hujamgonga wanawake wana visa sana

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Kwani hana mume?

Kama hana kagua kama ana kabinti kakubwa kakubwa halafu anza kukaulizia kwake mara nyingi uwezavyo utaona anaanza ku-back up taratiiiiibu!
 
Back
Top Bottom