Ukwaju
JF-Expert Member
- Oct 19, 2010
- 13,370
- 11,090
Hata Obama alitokea hukohuko kwa WajaluoSimjui ndo maana nimeweka jukwaa la Kenya watusaidie endapo wanamtambua. hio imechukuliwa toka Bloggers kama ilivyo
hicho kigari huku kwetu Dodoma / Irnga au kwenda Kondoa hakifai
sanasana ni maujiko tu tunampalilia
ona SASA Dada zetu kina miss chagga cacico wameanza kumsogelea hata pa kukaa hakuna ni kiti kimoja tu
Last edited by a moderator: