Huyu Mkenya anaeendesha gari la $2.7 Million ni nani?

Hata Obama alitokea hukohuko kwa Wajaluo
hicho kigari huku kwetu Dodoma / Irnga au kwenda Kondoa hakifai
sanasana ni maujiko tu tunampalilia

ona SASA Dada zetu kina miss chagga cacico wameanza kumsogelea hata pa kukaa hakuna ni kiti kimoja tu

161797_c_20140605000017_01.jpg
Ukwaju jiheshimu...., loool!
 
Last edited by a moderator:
e6908de318368a871a700caca87774a9_M.jpg

Oft you'll hear guys grumble, "Yo, I can't afford lunch today, am broke." But if you thought you're sailing on the same boat with everyone, this story will depress you

Anyway, there are guys who have money and those who are rich; well, recently one guy from the latter category shipped in a $2.7 million (ahem, go figure how much that is in Ksh) drop-top 2013 Bugatti Veyron Grand Sport Vitesse.
Remember, that's just the buying price, you haven't included freight charges, import duty (25% of the amount) and clearance fees et cetera.
The super car boasts of a top speed of 254Mph, 8.0-Litres, 16 Cylinders, 4 Turbochargers and an Output of 1183Bhp, making it the fastest car in the world.

Check it out;
161797_c_20140605000017_01.jpg

SOURCE: ghafla.co.ke
Hii picha mbona haina udhibitisho kama imepigwa Kenya? Unaweza kutupia nyingine tuone kama kweli gari hili lipo Kenya? Maana haya mandhari hayana udhibitisho kama ni Kenya inaweza kuwa UAE au nchi nyingine yeyote ya kiarabu ushaidi plate number na jamaa amekaa pembeni tu kupiga picha! Na kama hii gari ni $2.7 million inamaana ni mpya na kama hivyo sioni sababu ya yeye kununua left hand wakati Kenya magari ni right hand! Sijadanganyika na misifa ya Kikenya...ninaamini hamna mtu ana gari hiyo Kenya
 
ni Jaguar.

Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.
 
e6908de318368a871a700caca87774a9_M.jpg

Oft you'll hear guys grumble, "Yo, I can't afford lunch today, am broke." But if you thought you're sailing on the same boat with everyone, this story will depress you

Anyway, there are guys who have money and those who are rich; well, recently one guy from the latter category shipped in a $2.7 million (ahem, go figure how much that is in Ksh) drop-top 2013 Bugatti Veyron Grand Sport Vitesse.
Remember, that's just the buying price, you haven't included freight charges, import duty (25% of the amount) and clearance fees et cetera.
The super car boasts of a top speed of 254Mph, 8.0-Litres, 16 Cylinders, 4 Turbochargers and an Output of 1183Bhp, making it the fastest car in the world.

Check it out;
161797_c_20140605000017_01.jpg

SOURCE: ghafla.co.ke

Hivi kupiga picha pembeni ya gari ndio kunaonesha umiliki?
 
anaendesha gari ya billions of shillings, anakunyaa choo ya alfu hamsini au pengine anakata gogo porini,..izo akili au matope,...wazungu hadi wanatucheka waafrika sometimes. gari kama hiyo alafu umezungukwa na vinyesi vya slums za Nairobi kibera?....poor you.

Kwa hiyo ulitaka ajenge vyoo vizuri kwa majirani wote????!!!!
 
Jamani mm nawapenda sana
na hivi si dada zangu wa damu moja
kuna siku mtanifadhili lakini huyp Mjaluo ana GOVInda
nitafunila macho yangu (na soksi) nikisikia mmeenda
161797_c_20140605000017_01.jpg

we usijali mimi nitakuwa nakupa hela wala usipate shida
 
Unaelewa kule Kenya hasa Nairobi wale majambazi wa baharini - pirates, kutoka somalia ndiko wanaweka pesa zao. Kwahiyo hizi $2.7m ni mgao wa huyu jamaa kwa kuwapatia visa za kukaa kenya. Hakuna uzalendo huko, nchi inauzwa kama chapati na maandazi.
 
Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.
kama sikosei huyu jamaa anafanya kazi katika carwash kiaina! hiyo bendera ukutani imemaliza kabisa...Mikenya inapenda sifa ati Mkenya anamiliki gari hiyo! JF imekuwa ya ajabu siku hizi wana-quote website za ajabu kama ghaflla.co.ke
 
hate damages the brains,you are the casualty.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom