Huyu Mkenya anaeendesha gari la $2.7 Million ni nani?

Hahahaha, ati Jaguar!!..hayo macho yenu hayajui kutazama? hizo number plat za Dubai, na hapo ni U.A.E wala si Kenya, toka lini kenya wanaendeshea RH?!!! Tazama hizo rangi ukutani ni bendera ya wapi? Hapo ni carwash mitaa ya Dubai.

that place looks dirtier,and low class not necessarily Dubai
 
Huyu gamba anahusiska na kampuni inayokusanya rambirambi na kuwapelekea wafiwa; lakini mara nyingi hazifiki kwa walengwa!!
Aiseeee...kama imefikia hatua ya watu kutafuna hata hela za marehemu waziwazi na bado wanatanua mitaani na magari ya kifahari hivyo!...
 
saa hiyo utayaendeshea wapi...chunga msee asijazwe na wivu akumwagie paint..

na yangu nita pata lini?
 
mhhhh.....
Minimejikuta natamani kujua hiyo gari ni made ya wapi na kampuni gani, ukubwa wa injini, mwendo kwa saa, imetolewa mwaka gani na nini kimeifanya iwe na bei ghali

Mbona taarifa zote hizo zipo kwenye post ya mwanzo hapo juu? Wataliano hao jombaaa.
 
..Labda ukamtafute Nairobi, Bongo hajagi kabisa huyu baada ya kuambiwa barabara zetu zina mahandaki hivyo gari lake la bei mbaya litaharibika na kumuingiza kwenye hasara kubwa sana.

Shikamoo eti huyu mkenya anakujaga tanzania?
 
..Labda ukamtafute Nairobi, Bongo hajagi kabisa huyu baada ya kuambiwa barabara zetu zina mahandaki hivyo gari lake la bei mbaya litaharibika na kumuingiza kwenye hasara kubwa sana.

Sawa mkuu mmh ngoja nimfuate si dhani kufuka kule itazidi laki moja
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Back
Top Bottom