Huyu member yuko wapi? JohnTheBaptist

πŸ˜€πŸ˜…πŸ€£πŸ˜‚ kwani huyu ni Nape? All is possible
Hawezi kuwa Nape
Huyu sote tunaweza kuwa tunamfahamu

Tumuombee huko alipo maana seems akina Mafyele (in Rachel Dangwa's voice) bado wanaye....

Tembeleeni vituo vya polisi Mkuranga, Bagamoyo, Kisarawe na Morogoro. Kuna clue pia kwa yule Kapten shujaa wa usiku
 
Hawezi kuwa Nape
Huyu sote tunaweza kuwa tunamfahamu
Yupo Bukheri wa Afya kwake Mbweni. Na kutokana na yaliyotokea 29Oktoba familia yake imemzuia kuwepo JF.

Na inawezekana pia yumo humu kwa jina jingine. Ninachojua Mimi kwa hakika yupo hai na salama kabisa.
 
Nimeandika kwa codes.
Umekwepa kuzinakili
 
Anagaka utulivu, wewe ukiona land cruiser haina namba au ina namba hazieleweki unakuwa na amani?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…