Yes, nimekosea hapo juu Maxence Melo ungamisha maneno john the baptist isomeke johnthebaptist
VPNYes, nimekosea hapo juu Maxence Melo ungamisha maneno john the baptist isomeke johnthebaptist
Umeshacheck na Mafyele?Simuoni hapa JF
Yulo wapi?
Yes.....
Tarehe 6 December, 2025 atakua amerudi maana JF itakua imefunguliwa rasmi... Jaji Mfawidhi nae kapotea tangu 6 September, 2025 JF ilipofungiwa hawajarudi tenaSimuoni hapa JF
Yulo wapi?
😂🤣😅😀😳Yote yawezekana. Nitakurudia ngoja nihakikisheUmeshacheck na Mafyele?
Umeona eh!Kweli huyu jamaa kapotezwa mazima,na inaonekana na famiria ya watoto wa Viongozi wa zamani na kama amekulia Iringa gangilonga
Augustino amemfikia au bado?
Simuoni hapa JF
Yulo wapi?
Gangilonga kuna ofisi ya Usalama wa Taifa. ZINDUKA!!kama amekulia Iringa gangilonga
😀😅🤣😂 kwani huyu ni Nape? All is possibleNape mbona yupo