Nenda cheka tuChamwino au UWT kata ya Kaloleni! ni Katibu wa UWT Kaloleni
Karma nasikia ametekwaYu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.
Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.
johnthebaptist upo wapi chifu?
Nasikia siku izi huyu ni mpaka black kichwani na scrub usoni wa Wasira..Vip ndugu yake Tlaatlaah yeye ana cheo gani hapo Chamwino?
PamojaNenda cheka tu
Daah watu bana😆😆😆
😂😂😂😂Lucas Mwashambwa sahivi ni VEO muda mwingi anakuwa field kwa wananchi anaonekana usiku pekee
Ndiyo hivyo mkuu😂😂😂😂
Hongera yake pia.Ndiyo hivyo mkuu
Mwenetu ameula asee kuwa VEO sihabaHongera yake pia.
Maisha kayapata mbna, anakula hela za wana nchi kwenye miradi ya kijiji. LolMwenetu ameula asee kuwa VEO sihaba
CCM wote ndiyo wapo hivyoMaisha kayapata mbna, anakula hela za wana nchi kwenye miradi ya kijiji. Lol
Sahivi katulia tulii, chozi lake lilokua linabubujikwa, limeonwa na kufutwa pia.CCM wote ndiyo wapo hivyo