Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

Huyu mdau muhimu yupo wapi? Isije ikawa amepotezwa

Nadhani hakuna awamu inawajali UWT kama hii ya mzanzibar asee
Gentleman,
lisu na heche hawawakubali kabisa viongozi wananwake wa chadema hasa wenye maono na fikra pevu zaidi yao kiungozi,

unadhani ni njia sahii kuwatembezewa vipigo vikali namna ile huku viongozi wa kitaifa wakishuhudia kama namna ya kuwanyamazisha na kuwadhibiti? :NoGodNo:
 
Juzi CCM mmetoa kafara waandishi wa habari kule Mbeya nadhani wamefika 6 sasa.
 
Yu wapi huyu mwamba kwenye hili jukwaa la siasa? Isije ikawa amepotezwa au amepatwa na janga si kawaida yake hata kidogo.

Ni mtu pekee anayependwa na CHADEMA NA CCM leo ni muda sasa haonekani akipost na matukio makubwa yanatokea yupo kimya.

johnthebaptist upo wapi chifu?
huenda yuko kwenye novena ya kwaresma ya siku40,

anapenda sana kufanya maombi pale msimbazi pamoja na myika :NoGodNo:
 
hivi gentleman,
yule mlinzi binafsi wa heche katili kiasi kile,
anaweza kukosekana kweli miongoni mwa waliomdhuru na kumdhulumu yule kamanda wa Tanga kipindi kile cha uchaguzi wa ndani wa chadema? :NoGodNo:
Vipi kafara za CCM?
 
Wewe jamaa kuna kitu nimejifunza kwako , hukubali kukasirishwa yaani unachukulia mabomu ni kama sauti ya Pepsi moto iliyotikiswa na kufunguliwa
gentleman,
ni muhimu sana mambo ya siasa yaishie kwenye lungs na keyboard tu, haifai kabisa kuwekwa rohoni:pedroP:
 
ukitathimini kwa kina,
hivi wale walinzi binafsi katili sana wa heche,
sio project maalumu ya kitaifa kutoka HQ, inayolenga kuwadhibiti viongozi wananwake wa chadema wenye fikra pevu huko mikoani?:NoGodNo:
Kwanini wasijiuenge UWT muwe nao wawe na usalama wa kutosha?
 
Back
Top Bottom