Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.Binti Shirima kwani hujuwi kuwa ni kanjanja?
Binti Shirima kwani hujuwi kuwa ni kanjanja?
Kwa TBC wala hilo si jambo geni! Kama Tido anafanya hivyo what do you expect kwa walio chini yake? anajua iko siku nayeye atalipwa hapo mwenzio yuko kwenye kuuza jina.
Mbona ana mifano mingi ya wenzake waliokumbukwa.
Sio wote waliopo chini ya Danstan ni pupet...
Kuna wengine wana utimamu wa akili na si wakurupukaji.