Huyu Jane Shirima wa TBC vipi?

mudushi

Senior Member
Oct 19, 2010
151
84
Nilikuwa nafuatilia mahojiano ta TBC ambapo Binti Shirima alikuwa anamhoji Mtoto wa Mkulima Pinda nikashangaa alipoanza kusema wapinzani ni watu wa kupinga tu kila kitu. Nikasema ama kweli naye huyu binti kachakachuliwa. Walio karibu nae wamstue jamani kuwa Opposition imefanya tremendous job.
 
Binti Shirima kwani hujuwi kuwa ni kanjanja?
Bahati Mwano, kwanza karibu, pili kitu kama hujui , sio lazima uchagie, huyu binti, infact ni mama tena sio young mother, but she looks good, ni graduate tena toka reputable univesities, kumuita kanjanja ni kumuonea!, makanjanja tuite akina siye!.
 
she is unprofessional kweli kweli! Fuatilia anavyoendesha mahojiano. Huwa anatake side-sijui ni mwandishi wa aina gani? Watu kama hawa kwenye taasisi nyeti kama hii ya TBC (Nowadays wamekuwa hopeless) ni tabu tupu.
 
Pasco kuwa graduate toka reputable Univ. na kufanya kazi kwa uelewa/mafanikio tarajiwa ni vitu viwili tofauti!
 
Pasco asante sana kwa kutukaribisha sisi Junior members.

Mtu kuwa graduate haimaanishi kuwa maisha yake yote ataongea vitu vya maana. Kuna msemo mmoja unasema kuwa kila binadamu duniani ni kichaa ila ukichaa huo unatofautina. Pia kuna msemo mwingine unasema ficha upumbavu wako, ioneshe hekima yako... kilichompelekea bahati kusema hivyo ni kutokana na huyu mtangazaji kuanza kuonesha bias kwa chama fulani.

Angetafuta namna fulani ya kuuliza swali hilo na siyo kuliweka direct namna hiyo.
 
Kiukweli ukiwa kama mwandishi wa habari hutakiwi kuonyesha laivu unaegemea upande mmoja wa chama fulani, ingawa tunafahamu kwamba kwamba kazi ya mwandishi wa habari ni kuhakikisha watazamaji/wasikilizaji wanapata habari sahihi na sio kujikombakomba kwa wanasiasa wakuone ili wakukumbuke kwenye ufalme wao, wanahabari wajitahidi kuripoti habari kwa usahihi na si kushabikia siasa.....ingawa yeye kama raia ana haki ya kumchagua kiongozi anayempenda na si kushabikia hadharani kutokana na maadili ya kazi yake................ni hayo tu..
 
Kwa TBC wala hilo si jambo geni! Kama Tido anafanya hivyo what do you expect kwa walio chini yake? anajua iko siku nayeye atalipwa hapo mwenzio yuko kwenye kuuza jina.
Mbona ana mifano mingi ya wenzake waliokumbukwa.
 
Kwa TBC wala hilo si jambo geni! Kama Tido anafanya hivyo what do you expect kwa walio chini yake? anajua iko siku nayeye atalipwa hapo mwenzio yuko kwenye kuuza jina.
Mbona ana mifano mingi ya wenzake waliokumbukwa.

Sio wote waliopo chini ya Danstan ni pupet...
Kuna wengine wana utimamu wa akili na si wakurupukaji.
 
Bwana pasco kama huyu binti ni graduate basi huenda akawa kama yule ambaye hajui kjibu maswali anayoulizwa! pili huenda hiyo digrii ni ya kudesa na ana-lack critical reasoning! dr Watson alithibitisha haya yote! Blacks!
 
"..A number of YOU Voted for KLEPTOMANIACS, Don't ever complain for what You'll get!!!!.."

Kwa hisani ya Mkuu Kiraka....
 
jamani umefika wakati tutambue kuwa,kwenda shule na utendaji kazi ni vitu viwili tofautiiiiiiiiiiii,pia mtambue kuwa tbc ni taasisi ta siasa tena ni ccm kwani hamkumbuki walivyo kataa lile tangazo la KWANINI TU MASIKINI WAKATI TUNA TANZANITE NA MADINI KEMKEM? ukikumbuka hilo utajuwa hawa wakina shilima wapo wapi,wanachotaka ni mkono uende kinywani na sio watanzania wanataka nini

MAPINDUZIIIIIIIIIII DAIMAAAAAA
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom