Huyu jamaa lazima atakuwa ni Murhaaa

Huyu jamaa lazima atakuwa ni Murhaaa

attachment.php
 
Mtoto hapo kakosa nini....INAELEKEA PALIKUWA NA MKONO WA KUFA MTU JAMAA KAMA AMETOKWA KAMCHUZI DIZAINI..
 
sasa haka katoto kweli tutegemeee something good from him/her??or future leader from...agh hii mbaya sana.
 
mama yangu wee!!, umshike mwanangu hivyo mbona pata chimbika!!!! kama mtu ananiua na aniue tu ila watoto wangu asichezee kabisa....
 
Msikariri kwamba kila mwanaume katili ni mkurya msiwe mnatuzushia hata mengine ambayo hayana uhakika...siku hizi watu wote wanatoa kichapo tu..EVERY GENERAL RULE HAS GOT ITS EXCEPTION!!
 
huyu jamaa mlevi ,katili,muuwaji yaani mtoto asiye ma hatia anamgeuza roba la unga
nyang"au kabisa
 
Hapana, angalia vizuri. Huyu jamaa ama ni Mmakonde au katoka Sumbawanga.
 
Jamani hayo siyo maigizo kweli? au mpaka mmuone kanumba!
Angalia vizuri, hapo siyo pale kijijini kwetu kweli!
 
Bila ubishi hapa patakuwa ni kijijini Machochwe wilaya ya Serengenti mkoa wa MARA
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom