Hii picha imenisikitisha sana.
Hiyo ndiyo kazi ya Pombe. Ivi mnadhani Mungu aliyekata ulevi yeye hakujua ubaya wake. Ukiwa pombe unakuwa shetani mtu kwahiyo huyo mzee hapo hakuwa mtu wa kawaida bali shetani mtu, kisa kalewa pombe. Ulevi nooooooooooma.