don donaldlozzy
Member
- Jun 7, 2016
- 92
- 27
asante ila tujipange maana mmmh prezda mwenyewe hachelewi kuzingua uyo..!!
Usihofi mshenga hauwawi. Andaa posa tuipeleke fasta kabla wengine hawajajitokeza. Mtoto katulia sana hana makuu, ikulu itakuwa ndo nyumbani kwako. Utalindwa kama Rais, utaishi kwa furaha bila hofu ya shida za kimaisha! Mungu akupe nini mwakwetu?asante ila tujipange maana mmmh prezda mwenyewe hachelewi kuzingua uyo..!!
Acheni Kabisa kumfanyia huyu binti namna hiyo. Hivi siyo sawa na kwa taarifa Yako wakitaka kuwatafuteni watawapata tu. Watch what you are doing.
We kaenda zako huko. Tumediscuss sana upuuzi unaouleta hapa.. Ikajulikana kwamba sivyo ndivyo mahesabu yanakataa. Unaturudisha nyuma.Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Na nyie kwa kujipendekeza.Umeandika vizuri, kwani wengi wanaoandika humu wakitoa mashambulizi dhidi ya kauli ya Rais, wamepotoka na kupotoshwa kwa makusudi...wanajaribu kujenga hoja kwa propaganda...na hoja za namna hii hudumu siku mbili au tatu tu...NO RESEARCH NO RIGHT TO COMMENT....Wameacha hoja ya msingi wanamkimbilia JESCA!!!!!!!!
Relax amigo. Nothing serious here...Duh! Mkuu mategemeo yako ni kwamba huwa anapita hapa au?
mbere je Jesca kakuruhusu uweke picha yake hapa? akijua!! akamwambia baba jesca, watatumwa vijana kuja kukuvuta na kucha zako halali yako ama wakikosa basi TCRA mkurugenzi akiambiwa kuwa baba jesca mwanaye katolewa mtandaoni basi kwa kuogo akutumbuliwa atakushukia nakushgauri UIondoe , ila kama ameridhia basi poa