Sosthenes Maendeleo
JF-Expert Member
- Oct 24, 2012
- 2,741
- 1,723
Karembo
Poyoyo mkubwaNaomba namba yake ya simu
Nikitizama uso wake namuona mkulu.
Kwahiyo na wewe hujiongezi unasifia tuu! Angepitia ngazi hizo zote si angetumia miaka mitatu hivyo sasa angekuwa mwaka wa kwanza iweje sahizi awe anaingia mwaka wa tatu? Hujiulizi hilo?AISEE MEMBER MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU, KULA GWALA! umenena ukweli na uweledi wa hali ya juu!
Sijamaanisha hivyoKwa hiyo unamaanisha ukiwa nae au ukipiga yeye sawa sawa na direct proportional to yeye?
Wasije wakalazana tu...Ridhwani Kikwete baada ya Babake kuwa Rais alikutana na Abbas Mwinyi na Makongoro wakamueleza Changamoto za kuwa Mtoto wa Rais na changamoto zake kwny media.
Ridhwan Kikwete nae ni wajibu wake kukutana na huyu binti kumuandaa kisaikolojia.