Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

jesca najua unasoma humu ama unaambiwa vipi una mtu?...... hayo ya F F F F F achana nayo mwaya. mengine naona una first class.



Teaching is my Ministry;
Jesus is my Model;
Transformed lives are my Products;
And heaven is my Goal;
Rise Up and Shine Jesus is coming.
 
namtia moyo kwa maana kila mtu ana kipawa chake. asije akakata tamaa kwa maneno. bali atumie critics kusimama na kujiamini. kwani woote waliofanikiwa ni vipanga? wengine vilaza wa mwisho lakini leo hii wanakumbukwa ma bado wako hai. tusikandyee weee sometimes tutie moyo ndo maana nashughulika kutranform lives na kufundiusha. upo hapo?
 
Kweli hakuna maana halisi ya uzuri.Hapo kuna uzuri sana na hilo pozi la kijijini
 
Hiyo cheka kama ya Mama yake!!Hapo ni hostel za College ya Social Science
Room #96 block four.....chumba cha kwenye kona,kama unaona nyuma kichwani kwake inaonekana kona ya dizaini fulani...Hivi vyumba vya kwenye kona ni vikubwa kuliko vingine,na kukipata lazima uwe na ukaribu na Block Warden...Huyu alipata sababu ya yule Warden Mkuu Albino....Chumba kubwa na space ya maana..Zulia za Home Shopping Centre

Msiniulize sana...nimefikaje fikaje mpaka kwenye hicho chumba!!Sema binti mtu wa sala sana...ana hofu ya Mungu,nafikiri sababu ya ukaribu sana wa Mama kuliko mzee...Japo wanamgwaya sana Mzee!!Yaani ile "tone" ya mzee Jukwaani ni mpaka sebuleni... Niishie hapa!!Nisije nyea debe bureee,Maana Mzee hataki mchezo na binti zake
Jamaa Mbea Wewe
 
Huyu Dada Yupo Ktk Kipindi Kigumu Sana Hivi Sasa Maana Vijembe Anavyopigwa Kama Hajapungua Mwili Na Uzito Basi Yuko Gado Kinouma.
 
29d8b36ab123e1a03eb1e0d48fd7667b.jpg
Huyu mtoto bure kabisa hata kiswahili F halafu masomo yote ya sayansi alikuwa amekeep constant lakini bado haikusaidia akaangikia pua na kuing'ata "four ya 30" ama kweli haya ndo majanga. Hii four ni zaidi ya Tsunami nadhani ilitikisa mji mzima na leo athari zake zimewakumba wengi na kujikuta wanaitwa vilaza hali walipasua pepa tena wakifaulu sayansi vizuri kabisa.
 
kumbe yale matokeo ni halal yake, maana ukipewa sura nzuri ujue kichwan bure
 
Lakini si alisoma magogoni huyo,nakumbuka alikuwa ana rafiki alisomaga pale na mmoja wa ndugu zangu
 
Hiyo cheka kama ya Mama yake!!Hapo ni hostel za College ya Social Science
Room #96 block four.....chumba cha kwenye kona,kama unaona nyuma kichwani kwake inaonekana kona ya dizaini fulani...Hivi vyumba vya kwenye kona ni vikubwa kuliko vingine,na kukipata lazima uwe na ukaribu na Block Warden...Huyu alipata sababu ya yule Warden Mkuu Albino....Chumba kubwa na space ya maana..Zulia za Home Shopping Centre

Msiniulize sana...nimefikaje fikaje mpaka kwenye hicho chumba!!Sema binti mtu wa sala sana...ana hofu ya Mungu,nafikiri sababu ya ukaribu sana wa Mama kuliko mzee...Japo wanamgwaya sana Mzee!!Yaani ile "tone" ya mzee Jukwaani ni mpaka sebuleni... Niishie hapa!!Nisije nyea debe bureee,Maana Mzee hataki mchezo na binti zake
Duuuuh umetisha mzazi!
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
AISEE MEMBER MUNGU AKUBARIKI SANA MKUU, KULA GWALA! umenena ukweli na uweledi wa hali ya juu!
 
Wabongo tunapenda drama sana aisee, tungekuwa humu kwenye social network ndio kwenye kazi aisee sijui kama ulaya wangetupata, tuna kazi sana ya kubadilisha mindset zetu!
 
MASWALI "FIKIRISHI" vs MASWALI "CHOKONOZI.!"

By Malisa GJ,

Rafiki yangu Comrade Rashid Chilumba kaniuliza maswali yaliyonitoa jasho kidogo. Maswali ya kufikirisha.

Katika kuchangia hoja ya binti anayedhaniwa kuwa ni mtoto wa Rais Magufuli aitwae "Jesca John Magufuli" Comrade Chilumba ameniuliza maswali kadhaa na kunitaka niweke ushahidi (Evidence) wakati nikijibu maswal hayo.

Sehemu ya maswal hayo Chilumba anauliza, Je huyo binti anayetajwa kwa jina la Jesca Magufuli ni mtoto wa Rais Magufuli kweli au ni mfanano wa majina? Kuna ushahidi wowote kuwa Magufuli ana mtoto aitwae Jesca? Kama yupo, je ana uhusiano na Jesca anayetajwa kusoma St.Mathew's?

Anahoji Chilumba na kuendelea; Je Jesca aliyedahiliwa UDOM na yule wa St.Mathew's ni mtu mmoja? Je hayo matokeo yanayodaiwa kuwa ni ya Jesca sio editing? Kwanini picha ya matokeo inayotembea mtandaoni ni moja tu?

Nimeyapenda maswali haya ya Chilumba kwa sababu yamenifanya "nifikirie sana" na mimi napenda kufikiria (Thinking is my hobby).

Maswali ya Chilumba yana mantiki sana kwa sababu jibu lolote kati ya maswali hayo linaweza kubadilisha mijadala yote inayoendelea mitandaoni kuhusu Jesca.

Kwa mfano swali la kwanza la Chilumba majibu yake yakiwa ni HAPANA basi yote tunayojadili huku mtandaoni ni bure. Yani kama Magufuli hana mtoto aitwae Jesca basi tunapoteza muda kujadili mambo ambayo ni "dhahania"

Na ikiwa jibu la kwanza litakua HAPANA basi hata hayo maswali mengine yaliyobaki yanakuwa hayana maana (yanakufa naturally). Huo ndio utamu wa critical thinking.

Kwa hiyo nimpongeze Comrade Chilumba kwa maswali haya mazuri ambayo yamedhihirisha kwamba alikua hasinzii kwenye vipindi vya Critical Thinking vya mwalimu wake Crispin Isaboke.

#MAJIBU
Nimefanya utafiti kidogo na kupata majibu ya maswali ya ndugu Chilumba. Nami napenda kuyajibu kama ifuatavyo kwa kuambatanisha na evidence kama alivyohitaji;

1. #SwaliLaKwanza
Je Rais Magufuli ana mtoto aitwae Jesca John Magufuli?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli ni mtoto wa kuzaliwa wa Mhe.Rais John Magufuli na mkewe Janeth Magufuli. Rais Magufuli ana watoto 7. Watatu wa kiume na wanne wa kike.

#Evidence
Katika orodha ya kuzaliwa Jesca ni mtoto wa 4. Watoto wengine wa Rais Magufuli ni kama ifuatavyo;

1. Suzzan John Magufuli
2. Edna John Magufuli
3. Joseph John Magufuli
4. Jesca John Magufuli
5. Lucy John Magufuli
6. Jurgen John Magufuli
7. Jerry John Magufuli

#EvidenceNunber2
Tembelea anuani hii ya Ikulu kufahamu zaidi juu ya familia ya Rais Magufuli na familia yake, Jamhuri ya Muungano wa Tanzania - Tovuti Rasmi ya Rais

2. #SwaliLaPili
Je Jesca ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew kwa kipindi tajwa?

#JIBU
Ndio. Jesca John Magufuli binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli amesoma sekondari ya St.Mathew na kuhitimu kidato cha 4 mwaka 2011.

#Evidence,
Mkurugenzi wa shule hiyo Bw.Thadeo Mutembei anaweza kudhibitisha hilo. Unaweza kumpigia kupitia simu yake nambari 0754 698845.

3. #SwaliLaTatu
Je, Jesca Magufuli aliyepata division four ya alama 30 ndiye huyo mtoto wa Rais Magufuli? (Au ni mwingine).

#JIBU
Ndiye huyo.

#Evidence;
Hakukuwa na Jesca Magufuli wawili katika sekondari ya St.Mathew.

4. #SwaliLaNne
Je matokeo yanayosambazwa mitandaoni kwamba ni ya Jesca ni matokeo halisi au ni photoshop?

#JIBU
Ni matokeo halisi, hakuna photoshop wala editing.

#Evidence
ingia kwenye website hii utaona matokeo yote ya sekondari ya St.Mathew's kwa mwaka 2012 na utaona jina la Jesca katika orodha hiyo. Nambari yake ya mtihani ilikua S.1071/102 http://196.44.162.33/necta2011/CSEE 2011/s1071.htm

#SwaliLaTano
Je ni kweli kuna mtu aitwae Jesca Magufuli alidahiliwa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM) mwaka 2014 kusomea shahada (degree) ya biashara ktk Rasilimali watu?? (Bachelor of Commerce in Hunan Resource Management).??

#JIBU
Ndio. Mwaka 2014 miongoni mwa wanafunzi waliodahiliwa kujiunga na Cho Kikuu cha Dodoma ni binti mmoja aliyejulikana kwa jina la Jesca John Magufuli.

#Evidence
Ingia kwenye website hii kisha tafuta Admisdion number 230. Pitia hapa http://41.93.31.136:8080/Selections/UnderGraduate.jsp?InstCode=DM

6. #SwaliLaSita
Je, Jesca Magufuli aliyedahiliwa UDOM mwaka 2014 ndio yule Jesca aliyemaliza St.Mathew's mwaka 2011 ambaye ni mtoto wa Rais Magufuli.

#JIBU
Ndiyo. Jesca anayesoma UDOM ndiye Jesca yuleyule aliyemaliza kidato cha 4 mwaka 2011 sekondari ya St.Mathew ambaye pia ni mtoto wa Rais Magufuli.

#Evidence
Unaweza kumpigia Mkuu wa Chuo cha UDOM Prof.Idrisa Kikula kudhibitisha kama kweli Jesca Magufuli aliyepo chuoni hapo ndiye yule binti wa Mheshimiwa Rais Magufuli. Namba ya Prof.Kikula ni 078 455 5655.

#HITIMISHO
Comrade Chilumba nafikiri nimekujibu maswali yako yote kama ulivyoniuliza. Na nimejitahidi kukupa evidence kama ulivyonitaka kufanya hivyo.

Sasa nakuomba na wewe unisaidie vimaswali vyangu vidogo kama ifuatavyo;

1. Hivi ilikuaje Jesca akasoma degree wakati alipata Division four ya point 30?

2. Je ana foundation course yoyote labda Diploma? Kama anayo amesomea chuo gani? Na aliwezaje kupata diloma ndani ya miaka miwili? Ina maana hakusoma certificate?

3. Na ilikuaje Udahili wake wa UDOM ukapitia NACTE wakati muongozo wa NACTE wa mwaka 2005 unazuia vyuo vilivyopo chini yake kudahili wanafunzi wenye alama chini ya 28?? Yeye ana 30 alidahiliwaje?

4. Amewezaje kusoma Bachelor of Commerce wakati somo la Commerce alipata "F" kidato cha 4??

5. Kwanini Serikali ilipotimua wale "Vilaza" (Form four failures) waliokua wamejazana vyuo mbalimnali kikiwemo St.Joseph, mbona hawakushughulika na Jesca? Je yeye ana "immunity??"

6. Je kauli ya Mheshimiwa Rais wetu mpendwa JPM kwamba kuna watoto wa vigogo waliofeli form four wamejazana vyuo vikuu na kuziba nafasi kwa watoto wa maskini wenye sifa na vigezo, je haimlengi Jesca? Hasa ukizingatia kuwa yeye ndiye mtoto wa kigogo mkubwa zaidi nchini? (Mtoto wa Mheshimiwa zaidi). Kama haimlengi Jesca ilikua inalenga akina nani?

Tafadhali Comrade nisaidie majibu ya viswali vyangu hivyo hapo juu. Naamini viswali vyangu hivi sio vigumu kama maswali yako ya Critical Thinking.

Wasalaam,

Malisa Godlisten E.J
Tupe na elimu ya Malisa Godlisten tuone nae anayejifanya mkosoaji amefikaje hapo alipo na alikopita, tujue!
 
Back
Top Bottom