Huyu hapa Jesca John Magufuli

ifike tu pahala serikali kupitia sheria ya uhalifu wa mtandao chini ya uangalizi wa TCRA waandae progamu ya kuunda mahakama maalum ya kuhukumu member wa JF tu wanaovunja sheria ya mtandao, kama ilivo kwa mahakama ya mafisadi.

bila hivo,kwa "mwendokasi" huu wa kufukunyua yasiyo mpendeza mkuu wa nchi,sidhani kama TCRA itamudu kutudhibiti.dadadeki.
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Haka kawimbo kako kuna magwiji wa ilim walisha ka- refute tangu jana.kamechuja.
Pole kwa kutoka povu jingi.
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.

Acha vitisho Mkuu.
 
NASEMA MTAZAMENI HIVYO HIVYO KWENYE POZI LA KUSHIKA KIUNO.

NGOJA ATEMBEE!! SASA NDIYO UTA...................:D:D:D:D:D!!!!!!!!
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.

Umeandika vizuri, kwani wengi wanaoandika humu wakitoa mashambulizi dhidi ya kauli ya Rais, wamepotoka na kupotoshwa kwa makusudi...wanajaribu kujenga hoja kwa propaganda...na hoja za namna hii hudumu siku mbili au tatu tu...NO RESEARCH NO RIGHT TO COMMENT....Wameacha hoja ya msingi wanamkimbilia JESCA!!!!!!!!
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Unawalaumu wabunge wa upinzani kwamba ndiyo waliowadahili kuingia UDOM ?! Au una maanisha nini ?!
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Mkuu kanaliza 2011. Ila matokeo yalitoka 2012, piga hesabu 2012 2013 certificate, 2013, 2014, dploma one 2014 2015, kamaliza dploma 2015, 2016 frist year....sasa yeye yupo second year. Jiulize kafikaje
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom