Huyu hapa Jesca John Magufuli

Huyu hapa Jesca John Magufuli

Mwenye namba yake anipatie tafadhali siogopi kunyea debe kunyea debe ni matokeo ya kazi nitakayoifanya kwa huyo mtoto wa mkuu wa kaya maana warembo kama hao ni kwa ajili yetu
Simple: nenda FB andika hii meseji yako afu share kwenye page ya tcra au police msasani. Fasta tu utaenda kunyea debe
 
aiseee sijutia kua mwana jf,watu hawalali hasa kwenye mambo kama haya ya ku share taarifa.naweza nisi sikilize wala kuangalia taarifa ya habari siku nzima ila kwa jf zazima nichungulie tuu.
Jf ni zaidi ya habari
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Kipaumbele cha kwanza elimu, cha pili elimu na cha tatu elimu. Edo aliliona hili kwa watanzania walio wengi
 
Mwenye namba yake anipatie tafadhali siogopi kunyea debe kunyea debe ni matokeo ya kazi nitakayoifanya kwa huyo mtoto wa mkuu wa kaya maana warembo kama hao ni kwa ajili yetu
Sorry wewe ni mkongo au una kipaji cha muziki?
Maana huko jela utakutana na kina babu Seya.
 
Kutokana na comments za wadau kuhusu huyu binti, kama haya ni kielelezo cha 10% ya vijana wote TZ, basi hiyo Tanzania ya Viwanda ni ndoto, labda viwanda vya kutengeneza vitumbua
Tanzania tunaweza sema muda bado ila usishangae kufikia mwakani tukawa na kiwanda cha kutengeneza kondomu!
Tunajiweza hatutegemei wazungu!
Ndiyo maana hata maguta tunatengeneza wenyewe!
 
Mkuu kanaliza 2011. Ila matokeo yalitoka 2012, piga hesabu 2012 2013 certificate, 2013, 2014, dploma one 2014 2015, kamaliza dploma 2015, 2016 frist year....sasa yeye yupo second year. Jiulize kafikaje
Duh!..
Mi napita kimya!
 
aiseee sijutia kua mwana jf,watu hawalali hasa kwenye mambo kama haya ya ku share taarifa.naweza nisi sikilize wala kuangalia taarifa ya habari siku nzima ila kwa jf zazima nichungulie tuu.
Unaweza soma magazeti, ukaona kama wanaleta habari walizoandika jana yake. Kumbe umezipata humu JF.
 
Kwa hili la Jessica Magufuli nawapinga wale wanasiasa wengi wa upinzani, tuache siasa nyepesi za matukio, let's base on issues.
Swala lipo hivi
Siasa mpaka kwenye Elimu ni challenge katika nchi. Jesca Magufuli qualification zake za form four ni qualification za certificate kwa mfumo wa NACTE na bahati nzuri amemaliza mwaka 2011 akaingia certificate mwaka mmoja then Diploma miaka miwili then akaingia Degree kwa utaratibu wa NACTE na ndo maana unaona kwenye hiyo selection ya UDOM ni ya NACTE sio ya TCU, anachokipinga Rais ni mtu mwenye qualification kama za Jesca kwenda moja kwa moja diploma bila kupitia certificate na hapo ndo kosa lilipo. Sio kwamba ukipata four huendelei na shule hapana, ila unaendelea kwa mfumo wa Competence based wa NACTE tofauti na mfumo wa TCU. Nadhani masuala ya Elimu tuwaachie wasomi sisi tubaki na siasa.
No research no right to talk.
#TCRA Fanyeni kazi yenu kwa hawa wasambazaji wa habari za kudakia.
Hiyo certifucate na diploma alisoma wapi?mwaga nondo hapa tung'amue wenyewe.
 
Mimi nimefuta kauli juu ya matamshi ya magu.
Huyu mzee mdomo wake utamwangusha sana. Halafu aliyeleta picha hapa hii sio powa man.
 
Why? ni ndugu yetu wote kwanza ilitakiwa wawepo uwanja wa taifa siku ya kuapishwa tuwajue wote
 
Kidevu kama mzazi wake wa kiume kabisa, kweli ni mwanawe...
 
Back
Top Bottom