peri
JF-Expert Member
- Mar 22, 2011
- 2,579
- 1,168
kwa hiyo hicho ndicho ulichoenda kufuata huko ofisi mkuu,.
Endelea na tabia zako tu ila ujue unachofanya ni sawa na kumvua dada yako ama mzazi wako nguo ili upate kuona utupu wake!!
Vijana wa siku hizi wamethamini mapenzi kuliko hata kazi,. Unamkuta mtu kazunguka na bahasha mpaka soli ya kiatu imekwisha na akipata kazi anajisahau anafanya madudu kama haya,...
Shame!!!
Ushauri tosha kabisa huu