Huyu demu vipi ?

Huyu demu vipi ?

kwa hiyo hicho ndicho ulichoenda kufuata huko ofisi mkuu,.

Endelea na tabia zako tu ila ujue unachofanya ni sawa na kumvua dada yako ama mzazi wako nguo ili upate kuona utupu wake!!

Vijana wa siku hizi wamethamini mapenzi kuliko hata kazi,. Unamkuta mtu kazunguka na bahasha mpaka soli ya kiatu imekwisha na akipata kazi anajisahau anafanya madudu kama haya,...

Shame!!!

so mkuu nimgegede ili nisimdhalilishe dadaangu ?
 
Wazee kuna demu mmoja ofisini simsomi kabisa,sijamuomba mzigo lakini namtania tania tu,nionyeshe mapaja daa! demu anafunua kwa kuringaringa,nikimwambia naomba nione tumbo lako anazuga kisha anafunua blauzi kama ananitania. Sijui kakolea ? Naombeni ushauri

nyie mnachezea kazi eee
 
Hapa mtaani kwetu kuna mwanamama ni kichaa naye ukimwambia afunue sketi huwa anafunua, ukimwambia aonyeshe nyonyo pia wala huwa hana hiyana.

Adios...

Tumweke na huyu jamaa wanaendana flani
 
kwa hiyo una mjaribu? ili iweje? upate kumsema kama unavomsema hapa?
Wazee kuna demu mmoja
ofisini simsomi kabisa,sijamuomba mzigo lakini namtania tania
tu,nionyeshe mapaja daa! demu anafunua kwa kuringaringa,nikimwambia
naomba nione tumbo lako anazuga kisha anafunua blauzi kama ananitania.
Sijui kakolea ? Naombeni ushauri
 
Wazee kuna demu mmoja ofisini simsomi kabisa,sijamuomba mzigo lakini namtania tania tu,nionyeshe mapaja daa! demu anafunua kwa kuringaringa,nikimwambia naomba nione tumbo lako anazuga kisha anafunua blauzi kama ananitania. Sijui kakolea ? Naombeni ushauri

Divisheni Faivu = Ufaulu usioridhisha
Divisheni Six = Ufaulu wa kuhuzunisha
 
Wazee kuna demu mmoja ofisini simsomi kabisa,sijamuomba mzigo lakini namtania tania tu,nionyeshe mapaja daa! demu anafunua kwa kuringaringa,nikimwambia naomba nione tumbo lako anazuga kisha anafunua blauzi kama ananitania. Sijui kakolea ? Naombeni ushauri

kwanini uombe uone?kwani we huna ujiangalie jamani?
Nanyie mnaoteaga mapopompo khaa
 
Wazee kuna demu mmoja ofisini simsomi kabisa,sijamuomba mzigo lakini namtania tania tu,nionyeshe mapaja daa! demu anafunua kwa kuringaringa,nikimwambia naomba nione tumbo lako anazuga kisha anafunua blauzi kama ananitania. Sijui kakolea ? Naombeni ushauri

she doesn't sound lyk ur work mate..labda dada anae fagia unampa vimiambili vya chai unakuja kumwaibisha hapa
 
Fanya kazi yako acha mapenzi na kazi siku mtafumwa na boss mpo kuvuliana na kibarua kitaota nyasi siku hiyo! Ww unataka akufunulie mapaja ipo siku atakuomba umuoneshe dudu lako ss sijui utakataa? Au ? Acheni kuleta video za bure na laana kwenye ofisi za watu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom